Recent content by me mlokole

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

    Kabisaaa! Maana mwingine ungelewa naye hapo sitting room unadhani nini kingefuata kama siyo kuvunjiana heshima kwa maneno ya kipuuzi. Kuitwa baba ni kawaida tu amekuheshimu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kidudu mtu awa gunzo kwa walaji mboga za majani

    Asante, nieleze kidogo walisemaje kuhusu orijino ya hawa viumbe Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kidudu mtu awa gunzo kwa walaji mboga za majani

    Jamani kumjua huyu mdudu vizuri atujuze maana tunaanza kuogopa kula mboga za majani hasa kisamvu. Inadaiwa ukimpika pamoja na mboga mkala basi kifo kinawahusu walaji Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kidudu mtu awa gunzo kwa walaji mboga za majani

    Habari wadau! Hivi hizi habari zikoje kuhusu huyu mdudu? Mwenye kufahamu atujuze maana mtaani wanatuogopesha kula mboga za majani sasa. Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi kwanini siku hizi hawakai?

    Watu wote mmenena vema, hebu wamama tuwachukulie vizuri hawa wadada kama watoto wetu wa kuwazaa halafu tuone ataondoka? Tusiwe wavivu, tupatapo nafasi tuwasaidie kazi, tipige nao story,tuwashauri, na kuwaambia jinsi ya wao kutimiza ndoto zao. Maana hawa ndo wamebeba uhai wa familia, akiamua...
  6. M

  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi kwanini siku hizi hawakai?

    Habarini, Jamani siku hizi wadada wa kazi hawakai, akija baada ya mwezi utasikia naondoka, sababu ni nini? Tupeane mawazo ili tusaidike. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa tonses

    Habarini humu, Nilifanyiwa operesheni ya kutoa tonses toka mwezi wa tatu 2017. Hadi leo sina test ya chochote. Nisaidieni nitakuwa vizuri baada ya muda gani? Sina namba ya doctor wangu na yuko mbali. Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania TEMEKE, DAR: Mjane aangua kilio hospitali baada ya kujifungua mapacha 4, asema hawezi kuwalea

    Soma vizuri, mume kafariki tayari ana ujauzito
  10. M

    JamiiForums Tanzania TEMEKE, DAR: Mjane aangua kilio hospitali baada ya kujifungua mapacha 4, asema hawezi kuwalea

    Aliupata ujauzito kabla mume kufariki, someni vizuri
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa mama bora

    Nawezaje kumshawishi mume wangu ili anione mke bora
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa mama bora

    Nawezaje kumshawishi mume wangu ili anione mke bora
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simu za touch na madhara yake

    Wapendwa binafsi nimegundua usipokuwa mwangalifu utajikuta unaingia jehanam kwa ajili ya simu hizi. Hebu kila mmoja aseme alilowahi fanya baya kupitia simu yake
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread review: Timing ya wanandoa kukutana mkiwa na watoto wadogo

    Mm
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread review: Timing ya wanandoa kukutana mkiwa na watoto wadogo

    Ni shida, sisi huwa tunasubiri walale ndo tunadu japo muda mwingine tunapitiwa usingizi tunaishia kulala na nyenge zetu d hadi kesho tena maana asubuhi watoto washaanza kudamka tena
Back
Top Bottom