Recent content by mdugunde

  1. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Shujaa yetu polisi azikwa Kyela bila heshima wala msaada wa maana

    Amiiin
  2. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: TAZARA and Ubungo flyovers - Construction starts November 2015

    Kiukweli foleni iliyopo TAZARA ni ile ile ya siku zote kiukweli mkandarasi amejitahidi kimazingira na kutoongeza foleni
  3. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asimulia alichokutana nacho hospitalini mkewe akijifungua

    Yeye ni zaid ya kioo cha jamii ujumbe wake huu huwezi amini utakuwa umebadilisha kuhamasisha watu wengi. Kuna watu hata uwaambiaje swala la kuchangia damu salama hawastuki.
  4. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli alimteua Kassim Majaliwa awe Waziri Mkuu?

    Na kweli
  5. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu aliponiaibisha kwa kumtekenya dereva wa bodaboda!

    Ashk kitunguu saum[emoji108]
  6. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Kashfa nyingine NSSF

    Nchi inatafunwa sana duuu
  7. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Kiongozi wa nchi lazima awe na msimamo
  8. mdugunde

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

    Lakini kama TRA wanatangaza ongezeko la ukusanyaji mapato basi kuna kila sababu ya kutafutiwa kituo na kupatiwa mahitaji ikiwemo elimu na afya
  9. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Hakuna kukosea ni tabia mbaya tu ya mtu ng'ombe anapanda kwa kukuchumia hakosei itakuwa wewe binadamu? Tena kibaya zaid kwenye romance unaanza kuchezea papuchi ila kuingiza ndo ukosee!
  10. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anataka Urais kwa Nguvu, Gharama yoyote?

    Mtoa post poleee Watz washaamua kuwabadilisha ni kazi
  11. mdugunde

    JamiiForums Tanzania HUZUNI KUU KYELA: Bye Bye Harrison Mwakyembe

    kwake kunamshinda ndo atauweza wa Lowasa
  12. mdugunde

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, tumekuletea Lowassa badala ya Lipumba na Slaa!

    ametimiza tu haki yake kikatiba sidhani km kuna impact kubwa kwa yeye kutoka UKAWA What i know pipo have changed and wamechoshwa na ilani na mikakati ya kuja tekelezwa mwaka 2025!
  13. mdugunde

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    na jamaa alikuwa jeuri huyu full kunata
Back
Top Bottom