chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,115
Mwakyembe kawasahau sana wananchi wa jimbo lake kuwaletea maendeleo
Anhaaa! Mbona kuna barabara ya lami inajengwa kuelekea Ipinda baadae Matema beach? Huku siyo kuwajali wapiga kura wake?
Mwakyembe kawasahau sana wananchi wa jimbo lake kuwaletea maendeleo
Wakuu. Hali ni mbaya kupita maelezo juu ya halo ya kisiasa ya Ndugu Mwakyembe jimboni Kyela. Anazomewa kila sehemu. Si vijana si akina so wazee wote wanamzoea kila apitapo. Wazee walimshauri asogombee na wakamuleza ukweli kuwa hali ni mbaya mitaani juu yake lakini akawaomba kuwa "niacheni nijaribu". Hali hiyo imepelekea Mwakyembe kukimbia jimbo na kujifcha Mbeya mjini ambapo Sugu anabebwa kama mfalme. Watu wametabiri aibu ya Marne juu ya mwakyembe... Hakanyagi tena jimboni kuanzia juzi na mpaka viongoz wa CCM wilaya wanamsusia kwenye sapoti ya kampeni. Bye bye mwakyembe
Dada poa umemaindi eti?

Mfukuzeni arudi DAR anakoishi ndio agombee.
muondoeni kabisaaaaa.
- ikumbukwe mwaka 1994-2005 kyela ilikua haijui umeme unakatikaje lakini leo watoto wa kyela mjini waliozaliwa tangu mwaka 2006 hawaujui umeme, mgao mgao usiokoma loh!!!!
- Barabara za mitaa ni vumbiii yaani ukitaka kutoka inabidi ubebe ndoo ya maji ya kunawa uendako, mfano: itunge-NMB, MBUGANI-NMB- barabara ya posta.
- Ikumbukwe barabara kuu ya kwenda boda alijenga mwakipesile.
- Ujinga mwingine ni kujenga dispensary ndani ya hospital wakati vijijini hakuna vituo vya afya vyakutoisha.
sasa kuchokwa kwa mwakyembe kyela kunahusiana nini na septemba 1 ? mwakyembe hatakiwi kyela january hadi desemba .
LAKINI MDA MREFU SI ALIKUA iNDIA ALIPOLOGWA NA EL-NINO SASA HAKUKUA NA NAMNA -ALIPOPONA AKAWA WAZIRI HAKUNA NAMNA NYINGINE -AISEE NTAKUAFUTA LADY
Hahahahaaaa anachaacha nyumbani kwake kunawaka moto anakimbilia kwa nyumba ya jirani kuangalia t.v mwaka huu tutashuhudia mengi.
majungu katika ubora wake.
Mwakyembe jembe wewe, tatizo ni kwamba mitandao imewapa Uhuru Wa kusema mtakavyo ila kuanzia sept 1, kesho kutwa tutaheshimiana hapa mjini!
anaitwa mbunge wa treni na bandari .
mheshimiwa erythrocyte ikatokea Ukamuliza Mbowe leo fisadi ni nini, nyoka wa makengeza ni yupi, Rostamu ulishawahi kumsikia? Atakujibu ni misamiati na majina magumu mno, ambayo hata kwenye kamusi za lugha zote hapa duniani na mbinguni huwezi ya patahivi wewe jamaa huwa unaamini kitu gani ? we si unakaa kimanzichana haya mambo ya kyela utayajulia wapi ?