Naomba ushauri,nasumbuliwa na tumbo upande wa kushoto linauma maumivu ya mfululizo na yanafika mpaka kwenye mgongo kwa katikati.ila nimepima typhod sina,u.t.i sina,ila malaria nimekutwa nayo 2.nimekunywa dawa inaitwa oroder.sasa sijui nifanyaje.naombeni msaada plz
Nauza saa za ukutani zenye ubora na toleo la kisasa zipo aina tofauti!bei ni kulingana na aina!call 0686854242 or watsup for images
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nauza pikipiki sunlg SG 125 maarufu kama( kibao cha mbuzi)number T 101 AKN.imetumika hapa hapa ila ipo kwenye hali nzuri ila inahitaji marekebisho kidogo tu!kwa anaehitaji ani PM.
Or call 0686 854242
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habari zenu wadau!naomba kueleweshwa kisheria kuhusu hizi recruitment Agencies!
Mwanzo ilikuwa inaitwa SPANCO ambayo imechukua tenda kutoka AIRTEL ya kuajiri watu nakuendesha CALL CENTER baada ya kuanza michakato ya vimavya mshahara vyachini kubadilishwa kwa kutangazwa na serikali!hiyo kampuni...
Nilikua nakunywa kipindi flani ila niliachana na pombe kali!japo mwezi umepita nilipima ila ckukuta tatizo kwenye ini wala figo!kati kati hapa nikanywa bia ndio hiyo hali ikaanza!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Naomba nisaidiwe!kwani nahisi kukauka kwa midomo na tumbo kuuma kwa mbaali upande wa kushoto pamoja na kukosa ladha yachakula chochote nnachokula!!nilienda kupima hospita!mkojo,typhod,malaria n full blood picture!ila cjagundulika na kitu!nikapewa dawa ila bado najickia hali ni ile ile!naombeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.