Aliomba tuachane sasa hivi anataka turudiane

Aliomba tuachane sasa hivi anataka turudiane

wewe hujui kupenda kupenda kitu hata iwaje we upo upo tu hata hujui ufanyaje jipime ujue yupi yuko real kwako uzuri si shida shida ni upendo
 
usimwite mwanaharamu...punguza hasira sali na kufunga kwa ajili yake,,,,,,,,,Mungu kawaumba wote huyo mwanaharam na ww pia mkuu
 
Huyu msichana anajua wewe unampenda na ni Zoba kwake na atakusumbua sana.
Unaonekana unapenda usipopendwa.
 
Nilikua nina girlfriend wangu tulipendana sana alifanya vituko vingi sana kwakuwa nilimpenda nilimsamehe kuna siku nilikuta kwenye cm yake jamaa kamtumia picha ya mgegedo wake kupitia watsup akimkumbusha siku tatu nyuma jinsi alivyomfurahisha siku alivyokula koni vizuri lakini bado nilimsamehe tukaanza upya( sijui hata nilikua zoba kiasi gani au ndo mapenzi) mambo yaliendelea ivyo mara tugombane mara tupatane siku moja tuligombana kidogo tu nilimnunulia juice hakuipenda akaikataa basi nikamwambia chukua hata ukampe mdogo wako ndo ikawa ugomvi usiku akanambia mm na ww naoma tuachanae kama ipo ipo tu na kama imepangwa mm na ww kuwa pamoja basi itakuwa na haikupangwa basi haiwezekani. iliniuma sana but moyoni nikasema hata ivyo umenitesa sana nenda tu. Nilimbembeleza kidogo na kumkumbusha mengi niliyomsamehe but alikataa kata basi nikamtakia maisha mema nikaanza life upya without her miezi kazaa ilipita nikarudia tabia yangu ya uplea but finaly nikanasa tena kwa mtoto wa kichaga mzuri sana aiseee..yupo tafauti sana na yule ex.. tunapendana sana sasa cha ajabu anataka turudiane eti anasema yupo tayari kwa lolote lakini anataka kurudiana na mm nimemwambia haiwezekani sahivi nina furaha sana amkekuwa msumbufu sana ananisumbua sana. Nimfanyaje uyu mwanaharamu coz ananitia hasira

We punguani nn?
 
Yaani kakuona ww ndo pakupumzikia? Fukuza mwizi huyo, kisha mpige stop aache kukubanabana.
 
aisee we chalii, hilo nalo la kuomba ushauri? Si umesema upo na mtoto wa kichaga sasa mungu akupe nini tena? Watoto wa kichagga wote ni beautiful na wana akili ya pesa. Huwezi kufa maskini aisee, ng'ang'ana hapo hapo usiachie aloo!!
 
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu.. Sina mpango wa kumrudia hata iweje nataka tu jinsi ya kumfanya aache kunisumbua maana nishawahi hata kumfukuza barabarani mbele za watu ila hakomi na nishamwambia hata iweje kamwe siwezi rudi ila bado anasumbua kinoma wakuu.. Nitafanyia kazi baadhi ya ushauri.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu.. Sina mpango wa kumrudia hata iweje nataka tu jinsi ya kumfanya aache kunisumbua maana nishawahi hata kumfukuza barabarani mbele za watu ila hakomi na nishamwambia hata iweje kamwe siwezi rudi ila bado anasumbua kinoma wakuu.. Nitafanyia kazi baadhi ya ushauri.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

ulishawahi kwenda nae kupima maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi?
 
Back
Top Bottom