Mheshimiwa Rais sisi wakazi wa Nzuguni A tunakuomba uingilie kati zoezi hili lisiloisha kwa wenye makazi na viwanja katika eneo la Nzuguni A.
Zoezi hili linakaribia mwaka wa tatu lakini imekuwa linaenda kwa kusuasua sana urasimu umekuwa ni mwingi l, ubabaishaji na Rushwa imekithiri kupelekea...
Kinachojadiliwa ni katika utawala/uongozi wake hilo la familia au ukoo wake unakuhusu nini? hata wewe hapo kwa shemeji yako unapoishi Mara jirani akaanza kukufuatilia kwanini huendi kupanga kwako utajisikiaje si lazima ulielie majirani wambea sana,hawa viongozi wa kisiasa tuliwapa dhamana tuwape...
Katika siku mbili hizi kumetrend ktk mitandao video zikionesha wahuni wanaojita waislam wakivamia kijiji kule Mtwara na kuchoma moto kuua mmoja ya muathirika akikatwa kichwa,huku wahuni hao wakijigamba kuja kuleta dola ya kiislam.
Kwanza ieleweke wazi ktk uislam hakuna uhuni kama huu...
Naona Maisha yake ktk utendaji wake kuyafuatilia yamekushinda sasa unaamua kuingilia malezi ya familia yake na siku si nyingi utarudi uanze kusema "Hivi Magufuli anavyosema ataongeza mke wa pili Znz baada ya kustaafu kwanini asinichukue Mimi mbara mwenzie Magufuli ni mbaguzi hatufai.
Mkuu Mimi laini yao nimeishia kukopa na kuiacha nimeshindwa kuvumilia useng...e huu wa kutesana usiku najiunga na kifurushi tena cha 10000 vidakika vingine naambiwa niamke usiku vidata 3.5 gb nichofanya bora nijiunge halotel kwa GB 6
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wadasalaam mtuupdate na Leo maana Jana watabiri wamesema ile mvua ya juzi itakuwa ni kamvua robo yake itakayonyesha leo.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ni heri atawale hata lipumba au mama sendiga lkn sio kibaraka,kiujumla ni heli kidogo ninachokipata kuliko kumpa kibaraka nikakosa kabisa na natumai waswahili hamjatujua hiyo tar 28 tutafanya nini.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu kama hiyo TV ya wazee imechoka wanunulie nyingine au unataka uileeleee uje ujibalansie mirathi wakiondoka.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.