Recent content by Mdomo bakuli

  1. Mdomo bakuli

    Afariki baada ya kushinda shindano la kunywa pombe kali

    Hii iliwahi kumtokea mshikaji wangu kwenye ubishi kama huu alikunywa konyagi kubwa (kabla hawajatoa bapa) yaani ile anamaliza akaanza kupoteza uwezo wa kuona mpaka Leo ni kipofu!!
  2. Mdomo bakuli

    Tsh. Milioni 700 kwa atakayempata Mchina aliyemuua mwenzake Dar

    Weka picha ya mtuhumiwa sio ya marehem
  3. Mdomo bakuli

    Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

    Hata kama ni wao kwa wao we unataka watu wakae kimya?? Hebu kaa kimya kuficha ujinga wako.
  4. Mdomo bakuli

    Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

    Kila kitu kitaenda mrama, kila jiwe litabinuliwa ili kuhakikisha wale waliojimilikisha hii nchi na familia zao na vizazi vyao vyote wanaishi kama wako peponi...enzi za utumwa bado zipo sema tu zinaendelea kwa akili na umakini mkubwa sana kiasi kwamba watumwa nao wanajiona ni sehemu ya watawala...
  5. Mdomo bakuli

    Juma Raibu awavua nguo waliomvua Umeya Moshi

    We ndo huyo meya mfisadi ulieng'olewa? Ilikuwa wapi kutoa tuhuma za hawa madiwani hapo kabla!!? Huu ni utetezi tu wala hauna mashiko yeyote na kwa lugha nyingine tuseme ni kama unataka kulipa kisasi tu kwa hao waliovumbua madudu yako na kuyaweka hadharani .. Kwanza ulioaswa uwe mahabusu na sio...
  6. Mdomo bakuli

    Hivi dokta Panjuani wa E FM ni Mhindi kweli?

    Sio mhindi yule ni mtu anatumia tu lafudhi ya kihindi
  7. Mdomo bakuli

    Msaada: Ndugu yangu amepooza kuanzia kiunoni kushuka miguuni

    Kuna mtu mmoja namjua aliwahi kupata tatizo kama hilo na alipona kwa dawa za kienyeji... Nenda kwa wataalam hasa wa kisuni utapata suluhisho.
  8. Mdomo bakuli

    Mkenya mwingine ateuliwa ukurugenzi Tanzania, natumai hatafanyiwa majungu kama yule wa Safaricom

    Hivi kwanini Wakenya mna ubaguzi sana!! Na hii iko ndani ya mishipa yenu ya damu, hata uchaguzi wenu tu ni ubaguzi tosha wa kikabila! Yaani kabila ni sifa ya kwanza katika taifa lenu? Hata we unatamba hapa JF kwakuwa sie hatuna ubaguzi wala hatujali kuhusu uwepo wako! Angalia hata mfano mdogo tu...
  9. Mdomo bakuli

    Taarifa kutoka Bukoba wadau kifo cha Mtanzania huko USA

    Mjasiriamali omba omba! Hizi tabia za kuombana bia mziache huku bongo kwa maprofeshino kama MWIJAKU, STEVE NYERERE, BABA LEVO nk sasa mkijifanya kwenda nazo kwa wenzetu mtazikwa sana, hii tabia hata Kenya tu haipo yaani hapa bongo jitu zima linatoka kwakw halina hata mia linaenda bar linaanza...
  10. Mdomo bakuli

    Changamoto ya kununua magari ya mkononi

    Hata Yale ya yard mengi Yana ujanja ujanja tu, pote ni kubahatisha, gari za mikononi kwa watu unaweza ukapata iliosimama mpaka ukashangaaa! Nilinunua matako ya nyani kwa mwarabu mmoja hivi kwa 14.5m nikakaa nayo wiki 2 nikaiuza 24m kwa mtu wangu wa karibu sana na iko imara balaa, mpaka sasa ina...
  11. Mdomo bakuli

    Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

    Kwahyo hiyo Degree yako ndo umeandika uzi wa namna hii kweli? Ndo maana Mh Msukuma anawatukana kila siku..
  12. Mdomo bakuli

    Basi gani na nauli zake toka Dar to Geita?

    Kifupi hakuna basi ila Kuna misalaba tu, ilikuepo katoro coach ila sina uhakika kama bado ipo, Kama una safari kweli we panda mpaka Kahama au Mwanza kwa mabasi ya kuaminika then kesho yake unganisha mpka Geita
  13. Mdomo bakuli

    Nimetapeliwa zaidi ya Tsh. 45,000,000 kwa kuuziwa kiwanja feki

    Mie naona umekuja kuchangamsha jukwaa tu, kutapeliwa Million 45 mda huu ungekuwa na drip au ungekuwa kwenye basi unaelekea sumbawanga kumtafuta Mr Mshana ..
Back
Top Bottom