Recent content by mdoe

  1. mdoe

    Matukio ya Jana katika Picha

    Mbinu chafu hata kwenye katiba? kweli CCM wamefika ukomo wa kufikiri. Uzalendo kwa vijana wa uvccm hakuna kabisa.
  2. mdoe

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Uchaguzi hauko mbali. Mazingira mazuri ya kuomba/Kukopa fedha za uchaguzi ndo yanaandaliwa. Naomba kabla ya kuhukumu, tujiulize maswali kidogo: 1. Huyo balozi mdogo ni Mtanzania? 2. Kama ni Mtanzania, Elimu yake ina kidhi vigezo na Masharti ya nafasi husika? 3. Uchaguzi/Uteuzi wake umefanywa na...
  3. mdoe

    Natamani kumsamehe baba mzazi

    Naiheshimu JF, nawaheshimu wachangiaji wote. Nitajitahidi kumsamehe bila kujua what happened. Kwa kuanzia, nitamtembelea kesho. Thanks wakuu.
  4. mdoe

    Natamani kumsamehe baba mzazi

    Nimekuelewa mkuu
  5. mdoe

    Natamani kumsamehe baba mzazi

    Thanks mkuu
  6. mdoe

    Natamani kumsamehe baba mzazi

    Na hili ndilo ambalo silitaki. Unamsamehe mtu ila kichwani unajua kabisa alishasema mimi ni sadaka, hanihitaji tena. Kitu ambacho sijui ni kweli au sio kweli.
  7. mdoe

    Natamani kumsamehe baba mzazi

    Ninapokaa mimi na anapokaa yeye ni umbali wa kilometa 9. nauli ni sh 400. ila kila nikifikiria kwenda kumsalimia napata hasira naahirisha
  8. mdoe

    Natamani kumsamehe baba mzazi

    Tayari mimi nina maisha yangu. sihitaji chochote kutoka kwake zaidi ya attention ya baba kwa mtoto
  9. mdoe

    Natamani kumsamehe baba mzazi

    Mimi ni Kijana wa miaka 30. Nimezaliwa katika familia masikini, mkoani Kilimanjaro. Nimeanza kujitambua nikiwa na umri wa miaka mitano nikiwa mikononi mwa bibi wa mama yangu. Sikujua ni kwanini niliishi na bibi wa Mama lakini Baada ya muda, Mama alikuja kunichukua na Nikaenda kuishi nae wilaya...
  10. mdoe

    Amenikosea heshima lakini hashtuki japokuwa nimemweleza

    Wanawake bhana. Kwani akiwapisha chumbani wakafanya yao, shuka unakuja kufua wewe? au unamuonea huruma bf kua kalala sebuleni? Ukienda kulala guest house, vyumba hivyo havijawahi kutumiwa na couples wengine kwa issue hiyo hiyo? Mimi sioni kama ni big deal endapo mgeni atazifua shuka baada ya match.
  11. mdoe

    Wasagana kwa miaka 71,wameamua kufunga ndoa

    Hahahahahaaa..
  12. mdoe

    Nahisi simpendi mke wangu

    Dah! Pole sana kaka. Huyo mkeo mbona kama mshirikina flani vile!? Anyways, kumuacha sio too late, ila angalia mustakabali wa watoto kwanza. Huna haja ya kuishi stressful life while life is too short. Kuishi kwako isiwe adhabu kwako. No matter how far you have gone down the wrong way.....TURN BACK.
  13. mdoe

    Kitu gani kinakufikirisha sana wakati huu?

    Katiba mpya na changamoto zake
  14. mdoe

    Msaada jamani kwa anaye ijua shule ya same boys high school....

    Kuhusu walimu wapo, vitabu vipo, mabweni na chakula vipo... Ila, nakushauri uanze mazoezi ya kuoga mara moja kwa wiki.
Back
Top Bottom