kwa kizazi hiki hakuna anayemuelewa,na tusitake kumtumia kiasi cha kuja kupigwa mitama majukwaani.Mkuu unafikir Nyerere angekuwepo leo asingeongea juu ya miiko ya uongozi? Asingesemea taifa alilokalijenga na leo jins linavyopotea?
Mbona hujauliza kingunge alienda kufanya nn bungen?
katiba inajenga kizazi cha sasa na kijacho hivo ni wajibu wake kuwatengenezea njia wajukuu na vilembwe vyake, na wananchi wengine kama ww na wanak ili wasinyanyasike katika taifa lao !!
Wazazi wangu walipumzika siasa siku nyiingi sana.wazaz wako wangepumzka kukulea ungeish maisha gn jombaaa.. Ktk maisha hkuna kitu kinaitwa kupumzka.
Mkuu unafikir Nyerere angekuwepo leo asingeongea juu ya miiko ya uongozi? Asingesemea taifa alilokalijenga na leo jins linavyopotea?
Mbona hujauliza kingunge alienda kufanya nn bungen?
katiba inajenga kizazi cha sasa na kijacho hivo ni wajibu wake kuwatengenezea njia wajukuu na vilembwe vyake, na wananchi wengine kama ww na wanak ili wasinyanyasike katika taifa lao !!
Unaanzisha thread, picha watoa kwenye kazi za wenzako. Duh!