Recent content by MDMCT

  1. MDMCT

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Wewe ni Mjinga... Hata ukinibishia hapa, wewe ni Mjinga
  2. MDMCT

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Ndio kuna Sheria, hizo Sheria zao hazijali Haki ??? Yaan kumfukuza MTU bila kumpa barua??? Wala Mafao yake aloyatumikia muda wote huo!!!?.
  3. MDMCT

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    JWTZ inahitajika kufanyike Reformation !!!.
  4. MDMCT

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Niliwaahi andika humu, ila shida ni kutafutana. Mimi Kaka yangu ( mtoto wa mama mkubwa) Wakiwa pale kambi ya ukomandoo Morogoro... Posho zao wakawa hawapewi, wakaamua kuja Dar makao makuu JWTZ kulalamikia. maajabu, wakapewa Kesi za Uhaini, uhujum, uasi, uporaji wa Mali za Raia. Walikua...
  5. MDMCT

    Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

    40 ..no kids . Naomba UniPM , kuna mambo nayohitaji kuyajua, usiseme umeshahangaika sana . Nikuombe Usichoke, Naomba UniPM, tuulizane maswali machache tu. Ikipendeza Mungu atasaida.
  6. MDMCT

    Wakongwe wa JamiiForums tujuane

    Sawa ni wakongwe, kwa uhakika mnajivunia ukongwe wenu humu. Mnaamini Hizi ndio ID zenu wote kila mmoja???.
  7. MDMCT

    Tulikotoka: Hamisa Mobetto akimaliza Masomo yake Kidato cha Nne Tandale Sekondari

    Hamisa, akikupa Mzigo hutokula?? Mnajua heshima Hustles za MTU . UMASIKIN UMETUFANYA LEO HII, KUFUNGUA NYUZI KIBAO, KUMJADILI MWANAMKE MDOGO WAUMRI,MPAMBANAJI ,MWENYE KUTEGEMEWA NA NDUGU,RAFIKI, JAMAA NA FAMILIA. UMASIKINI MBAYA SANA.
  8. MDMCT

    Tulikotoka: Hamisa Mobetto akimaliza Masomo yake Kidato cha Nne Tandale Sekondari

    DEARS BLACK WOMEN, DON'T LET THESE BLACK MEN WITH LOW SELF ESTEEM AND THEIR OWN INSECURITIES LOWER YOUR VALUE !!!. STOP LETTING THESE BROKEN MEN TALK DOWN TO YOU OR MISTREAT YOU IN ANYWAY !!.
  9. MDMCT

    Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

    Basi Refa yuko sahihi, na ukiwa makini UTAONA ,hata ukirejea video za marudio utaona. Kapombe asingeguswa, ALIVYORUKA, ANGEUPATA, NA ASINGETUA KWA KUANGUKA CHINI. Hata wao GG, wanajua hilo !!!.
  10. MDMCT

    Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

    Kaangalie marudiio pale, na elekeza macho yako kwa umakini, kabla wote wawili hawajaruka juu, .mikono ya Mchezaji wa GG..ilimpush Kapombe.
  11. MDMCT

    Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

    Hilo liko wazi, ukiweka mtazamo wako Kigoligoli, kamwe huwez ona madhambi alocheza yule Jamaa. Jamaa alimpush kwenda mbele, ,kiasi kwamba akamtoa Kapombe kwa balanc , kapombe anaruka juu ,kwakua keshatolewa kwa rel, haufikii Mpira, nasababu hiyo hiyo ndio inafanya Kapombe Aanguke chini ...
  12. MDMCT

    Sifa za wanawake wanene au wafupi

    Umenena kweli. Na wana K ndogoooooooo kweli kweli. WA napenda NGONO ila Upige shoo shoooo Kama hao wanene, hawana makuu kabisaaa, ukimkosea yanaishaa ,niwtu wafuraha furahaa..
  13. MDMCT

    Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

    Maamuzi ya Refa yalikuaje, Ni Kaotea au kafanya Faulo?. Ukitazama Kwa makini, Yule Mchezaji wa Geita G, kabla hajaruka juuu, mikono yake ilimsukuma Kapombe, na ndio sababu Kapombe pamoja nakuruka juu, Aliishia kuanguka chini, sababu tayari alishatolewa kwa Reli.
  14. MDMCT

    China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

    Et hamna Afrika ... Hawa wachina wanatuona wajinga !!!
Back
Top Bottom