Recent content by MDK

  1. MDK

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwalimu Frank Msigwa mtesaji mkuu wa mwanafunzi

    KWA HIYO MWALIMU ANATAKIWA KUVAA MABWANGA, ACHENI MAJUNGU KOSA AMEFANYA ILA MSIHAMISHIE HASIRA KWENYE MAVAZI
  2. MDK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan woman caught stealing meat in South Africa

    unahisi tutavuna nn mkuu?? ukweli ubaki kuwa ukweli mkitenda mema mtasifiwa ila mkitenda mabaya mtaambiwa tuu hata kama inawauma mbona mkisifiwa hamkatai?
  3. MDK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan woman caught stealing meat in South Africa

    wale waliosema TZ walimuonea yule mwizi wa mlimani city haya sasa na wasouth wamemuonea huyu maana imeansemwa mkenya aiba nyama south Africa
  4. MDK

    JamiiForums Tanzania Bango la "Mwizi Mkenya!" Mlimani City ni Ubaguzi!, Udhalilishaji!, na Very Undiplomatic Gesture!.

    mwizi aitwe mwizi haijalishi katokea kenya au TZ mnawatetemekea wakenya mnoo
  5. MDK

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za Apple na Virus

    download Adwaremedic then install huwa inaondoa tatizo ila ni kweli hazishiki virus
  6. MDK

    JamiiForums Tanzania Nastaafu kuuza wake za watu Pt2 (Ijue hii biashara nje ndani)

    vip bado unaendelea kutafutia?
  7. MDK

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    Usitulishe sumu:llama:
  8. MDK

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake huwa wana expire date

    Hadith yako inatufundisha nn?:blah:
  9. MDK

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hizo ni dalili njema kwa chadema kwenda ikulu, mtahonga watu kumi kwa 150 bilioni zenu ila mwaka huu lazima mchomoke tuuu kila mbinu yenu inafeli mmebaki na bunduki moja tu amabyo mnapanga kuinunua tena baada ya hapo mnakaaa
  10. MDK

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hotuba imejaa Chuki Hasira Hakuna jipya
  11. MDK

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Mkuu hivi ITV naweza ipata online maana nimejaribu inagoma ntaka niangalia mafuriko
  12. MDK

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mkuu hii ni oil safi ila mashine ndio ilikuwa mbovu oil ikavuja wajanja wakaikinga wakaweka kwenye mshine nzima sasa mashine inakwenda kasi vibaya mnoo ndio maana wamilki wa oil wa zamani wanaweweseka.:peace:
  13. MDK

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    washasema kuwa hii oil chafu lakini wanahangaika nayo mapaka basi
Back
Top Bottom