elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Asante kaka na je, inaezekana kubadilisha format ya flash au mpaka nitafute hio flash yenye fat32...?????? Na je nikiipata naeza kuitumia kwa PC ingine ambayo sio Mac....????
Memory stick yotote unaweza iformat kwenda format yoyote mkuu kwa hiyo huna haja ya kutafta flash nyingine hizo hizo tu