Recent content by mdizi 2021

  1. mdizi 2021

    Nimemaliza kidato cha nne natafuta kazi yoyote, nipo Mbagala

    shamba la mazao gani? malipo yake yapoje mahitaji muhimu unajitegemea au jukumu la mwajiri
  2. mdizi 2021

    Nimemaliza kidato cha nne natafuta kazi yoyote, nipo Mbagala

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo, mimi kijana mwenye elimu ya kidato cha nne. Naomba mnisaidie mtu yoyote mwenye uhitaji wa kufanyiwa kazi kama vile: 1. Kunituma kutoka sehemu 1 hadi nyengine kupeleka bidhaa au kununua. 2. Ulinzi wa eneo lake la kazi. 3, Usafi wa magari 4. Kuuza duka, nipo...
  3. mdizi 2021

    Natafuta mtu wa kufanya naye biashara nguo za mtumba

    nicheck no 0655278293 nina plan hiyo
  4. mdizi 2021

    Operator - Mashine ya kusaga

    mimi hapa naweza ni cheki no 0656278293
  5. mdizi 2021

    Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

    labda hazikuwepo saizi yaye
  6. mdizi 2021

    Bunge linapaswa kutoa tafsiri ya Mshahara ili kumtendea haki Jerry Slaa. Basic salary ndio mshahara?

    hizo fedha zinaishia mifukoni ujue. fanya tasmini kwa siku 1 tu wanakusanya tozo za miamala kwa watu milioni 2 na zaidi, kwa shilingi 100 mtu mmoja mmoja hii ela ya chini kabisa kuna wanaokatwa zaidi ya hiyo wakifanya muamala.kwa mwezi unadhani inakusanywa shingapi yaaani kama viongozi wetu...
  7. mdizi 2021

    Nimetafakari sana juu ya uwezo wa Askari Polisi

    lakini eneo la tukio si tunaambiwa la kiusalama zaidi.mapolisi wapo kibao pale wnalinda.mbele kidogo kuna ofisi ya usalama wa taifa kama sikosei halaf si kuna nyumba za maafisa wastaafu jirani na hapo hilo eneo ulinzi wake si wa kitoto ingekuwa nchi ingine isingechukua dakika nyingi wangemkamata...
Back
Top Bottom