Recent content by mdiwani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais Magufuli Iringa nimetambua kuwa ana utu sana

    Raisi akilipa wema penye ubaya. Hakika atapendwa sana .akipunguza kodi za biashara atapendwa sana ..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza bei ya kuuzia pamba 2018/2019

    kwa wakulima wao bei ikiwa hairidhishi wana haki ya kuchagua kulima au kuacha zao kama wakulima wa mbaazi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ravinder Kaushik ''Black Tiger'' : Jasusi mbobezi aliyefia jela ya ugenini

    Hakika hii inaonyesha hakuna nchi iliyo salamA na jirani yake .ma shushushu Wa majirani wako kila secta as nchi jirani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Dege kubwa la watalii zaidi ya 300 latua uwanja wa KIA, utalii Tanzania wazidi kukua

    Kwengine wameandika limepata maafa kama ndege Ile ya emirates kushindwa kutua seachells
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

    Asante sana inafaa sana kupima. Kwa kila mwanamme alozidi miaka 40 .nilisha wahi kupima kwa ultra sound zamani .
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kujibinuabinua makalio kwenye mitandao maana yake nini?

    Karuhusiwa na mumewe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katoto kangu kanaumwa ugonjwa wa ngozi jamani

    Kaka chuma majani ya mpera chemsha. Fanya maji yake ya kuogea kila akikoga. Mola atamsaidia apone. Ni dawa nzuri sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe

    Pengine sikuwepo lakini huu upoteaji ni Wa miaka mingapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dini na Siasa: Kuna tofauti kubwa kati ya Maaskofu wa Katoliki na akina Kakobe

    Watu wanasahau kuwa uongozi Wa kwanzA alopewa adam katika maisha yake ndio kufuata maagizo ya aliye muumba na iliendelea hivyo .mambo yanaharibika wanadamu wakitunga sheria za kuwatawala watu. Sheria zikatupwa. Wana israel (yakubu)wakachukuliwa kuwa watumwa .musa akaletwa na sheria au mfumo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi UK: Ruksa kwa watoto wa kiume kuvaa SKETI

    Ni mila zao Scotland wanaume huvaa sketi .kwa hiyo sawa tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Mungu aliye mleta adam anaitwaje?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada kutua nchini wakati wowote

    Wakati mwengine unajikuta Mahal ambako hasara haiwi issue. N.a. linafanywa linalo hitajika .ikiwa hasara ni ndogo kupita kujikwamua kiuchumi. Unakubali hasara. Raisi kafanya linalo paswa. Tumpe hongera kwa hili
  13. M

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

    Nakuunga mkono faizal na kwa hili nanyi mjitahidi kununua bidhaa zinazo wachagua Wa tz katika kutangaza. Simple mathematics.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi ya Ufilipino inachochea ushoga kwenye tamthilia zake?

    Hujasema dhumuni lako. Ile ukweli ushoga nchi as mashariki ya mbali umekubalika kwenye society zao .
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Hajasikia weka kipaza sauti.
Back
Top Bottom