Recent content by mdindileisaack

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo, mimi ni kijana wa kiume, mtz....check me +5511987686993
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    pole zangu za zitto toka brazil....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    kwanini kuna kifo na nini lengo lake? Na je hakuna altenative nyingine?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    je binadamu anasomeka au kueleweka katika uhalisia na ujumla wake?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    wanyama wanatufikiria kama sisi ni rational?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini Kweli! 50 cent kafulia aisee

    ile ajali ya ndege heri wangekuwa wabunge wa katiba! Hhahahah imenivunjaa mbavu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haya Ndio Mapenzi Bwana............!!!!!!!!!!!!! !

    upunguani huoooo....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyopotea kama ingekuwa ni ya Tanzania?

    hahahha ingekuwa imeshapatikana via unga teknologia
  9. M

    JamiiForums Tanzania CREATION was only for israelites not for all human races, EVOLUTION still holds its truth !

    creation is evolution and evolution is creation! Substance is d same..reread darwin again
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chadema wakishika dola watasaini kukubali ushoga Tanzania

    no substance!
  11. M

    JamiiForums Tanzania OBAMA warns RUSSIA.....

    obama atishe tu kenge wa africa lkn wanapokuja mamba kama china na russia ajifunze kufyata mkia....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani kugombea ubunge Chalinze

    kama ana sifa why not!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Watoto wa Mitaani : Nini Kifanyike

    kabla ya serikali ni mimi na www;;;;hatuna sudi la kuondoa tatizo, tunafurahia kuwaona hivyo walivyo!
  14. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    nina wasiwasi na desmondi tutu about his sexual identity hadi anaunda chama cha mashoga sijui anataka kutwambia nn! Afrika as AU should say somthing, coz she is boss of the world, i mean a cinderella. Wamagharibi potelea mbali sisi tupo na wasovieti na wachina. Hqhqh
  15. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    alafu hiyo sio misaada, hela na mali wanazobeba africa ni mara kumi ya hiyo misaada! So lets ignore them, hata ikija hiyo misaada wanaita inamsaidia nani kama sio vinara wao tu!
Back
Top Bottom