Ridhiwani kugombea ubunge Chalinze

Ridhiwani kugombea ubunge Chalinze

Hoja na mantiki ya uzi huu ni ipi??
Maana huyu mtoa hoja anaonesha kama ni issue kubwa sana.

Heri yako ww muungwana kwenye kundi la wapumbavu wenzako!

Small mind will take ages to understand small point....!!
 
Sioni tatizo kuonesha nia ya kugombea huo ubunge! Ni haki yake, kwan cfa anazo! Ila akiptishwa na chama chake wananchi ndio watakaoamua!
 
Back
Top Bottom