Recent content by Mdigokhan

  1. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mnaochek game ya barca kuna ujinga anafanya huko au..??
  2. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii SportyBet mbona najiunga na namba yangu ya airtel hawatumi OTP ni wiki ya pili sasa Kila nikijoin inakataa..!!Wameifungia airtel au..??MSAADA TUTANI..
  3. Mdigokhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mchawi anaweza kukuroga kama hujalala?

    Kila siku napambana nao wachawi ni washenzi sana.
  4. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii hii imepigwa nchini Burundi

    Gongo la mboto kama unatokea banana hio..
  5. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa kihisia kwenye masuala ya vita Zungu (matejoo)amepoteza ushawishi

    Kuna jambo moja ambalo wanahabari na wachambuzi wanapaswa kulizingatia sana ni UWIANO na BUSARA Katika mijadala ya vita na siasa za kimataifa, hasa zinazohusisha mataifa: mfano Hili la Iran na Marekani, Hisia zao kali zinaweza kupotosha uhalisia mambo. Wachambuzi Kama zungu ukikosa emotional...
  6. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mwakinyo kuzichapa na Ibrahimu Class kukatana ngebe

    Wao wakiona ipo Sawa kwa makubaliano yao watakuja kukufurahisha kwa kiingilio chako Ila sio kwa matakwa yako kama ivi uamue flani na flani wapigane..
  7. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kazi ya kutumikia nchi ni ngumu na ndio maana maaskofu mapdri na masheikh wapo

    Unaandika kwa hasira mkuu…
  8. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mwakinyo kuzichapa na Ibrahimu Class kukatana ngebe

    Ngumi sio mchezo wa kukufurahisha wewe na wenzako,Ngumi zinauma…
  9. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania tunatatizo la kujidanganya-Tuko fake?

    Mimi sio fake
  10. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Anaejiamini hapendi keleleeeeee
  11. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Palipotoboka panazidi kuvuja!

    Hawatakagi maswali kabisaa,Waongee wao tu
  12. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kama Mandela, mtamtesa lakini kamwe hatopigia mtu magoti na mwisho wa siku atashinda kesi na kuwa maarufu zaidi

    Mandela Alifungwa na jamii ambayo sio yake Ila lisu ni jamii moja kabisa,Mtoto wa hapa hapa tanzania 🇹🇿 so sad
Back
Top Bottom