Recent content by mdesi

  1. mdesi

    Wakali wa Location hapa ni wapi?

    Mto Mara
  2. mdesi

    Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

    Moja ya Matatizo makubwa ya wa Protestant ni kuwashawishi waumini wao wa amini wanachokihubiri kwa kutumia reference ya mafindisho Catholic, ili waichukie iman hiyo. Hata hapa huenda swali limeulizwa ili kila likjibiwa ulipinge ili ku justify uprotestant. Kwa ushauri, ukienda pale vatcan km...
  3. mdesi

    Kwanini wakatoliki wanashambuliwa na madhehebu mengine?

    Habarini wanajamii.. Mimi ni mkristo wa moja ya madhebu ya kikristo, huwa napenda kuheshimu kila imani ya mtu, hata kama haamini vile namini. Kilichonifanya kuja hapa; ni mashambulizi ya kihasira ya mda mrefu ambayo madhehebu mengine yanafanya dhidi ya hili dhehebu la kakatoliki au RC kama...
  4. mdesi

    Nakereka sana na magari ya Dar kwenda Moshi kuruhusu wauza machungwa kufanya matangazo ndani ya mabasi

    Sioni shida juu ya hilo hasa ukilinganisha value ya usingizi na value created kwa wauzaji kuingia ndani ya gari. Personally huwa nafurahia kile kitendo na huwa najisikia vibaya nisiponunua. Mosi, Wale vijana wameji ajiri, na mhimu zaidi wana impact waioko nyuma yake kuna wamenyaji, wachukuzi...
  5. mdesi

    Serikali inaogopa nini kufanya lugha ya kufundishia iwe kingereza kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu?

    Mkuu, kiuhalisia kabisa bila ushabiki kiswahili hakitupeleki popote. Nchi yetu bado ni tegemezi, tunategemea kutumia tafiti zote za kiteknolojia, kisayansi nk. zilizofanyika na nchi nyingine. Sisi bado wachanga mmno ktk dunia hii hatujielewi. Ukitofautisha na nchi nyingine zilizojiwekeza kwenye...
  6. mdesi

    Aliefanikiwa kutatua tatizo la wadudu walambao darini anisaidie

    Aliyeweza kutatua tatizo ya wadudu kula mbao za kench atusadie kujua dawa aliyotumia
  7. mdesi

    Tetesi huanza na minong'ono

    Humu ndani kuna vichwa balaa
  8. mdesi

    Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

    Msimamo ni hakuna kurudia, km na yy anataka aridhike basi atoe hela. Haiwezekani nimtongoze, nimtumie nauli, nimlishe, nimnyweshe nilipe Lodge, nimuachie kifuta Jasho afu nipambane kumridhisha yy tu..
  9. mdesi

    Ukiacha sifa ya uchapakazi, bwana yule si wa tofauti sana na wengine

    Huyu bwana, kila nipitapo madaraja Tazara, Tanzanite, ubungo, busis, na kila nionapo au kusikia SGR, air tanzania, bwawa la JK etc naishiaga kujisemea R.I.P the giant Magufuli
  10. mdesi

    Kwa kanisa la TAG linalojifia kila siku, kuna hazina chache sana zinapotea zikilia juu ya kanisa

    Umeandika kifia dini sana, kwanini ulihama kutoka KKKT?? Unachotakiwa kujua ni kuwa kuwa ktk kanisa fulani si ticket ya kufika peponi.
  11. mdesi

    Mambo makubwa aliyofanya Rais Samia kwenye sekta ya kilimo

    Mkulima siku zote ni wa kuumia tu. Anaingiza ghalama shambani, akivuna anaambiwa tumefunga mipaka. Kuna system moja ya madalali huwa si ielewi na hawa watu hawalipi kodi wala nini. Mkulima akithubutu kupeleka mazao yake sokoni bila kupitia madalali anafanyiwa advertise moja matata hadi mtaji...
  12. mdesi

    Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Ni hivi ukiwa na degree na diploma wakatoa kazi ya sifa ya diploma basi huwezi pata kazi hiyo kazi, hata ukiwa na kada tofauti
  13. mdesi

    Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Wanajukwaa salaam! Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini. Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
Back
Top Bottom