Kuna ya taarifa za kufungwa kwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan, Tanzania kwa sababu za changamoto za kiuendeshashaji.
Fununu hizo zinaeleza kuwa Taarifa zimetokana na mkutano uliofanyika na mtendendaji mkuu wa Taasisi hiyo nchini, kupitia...
Hili ni andiko langu la nyuma wakati wa mgogoro uliowahi kujitokea kati ya NHIF na wamiliki wa vituo binafsi vya huduma ya afya.
Na miongoni mwa vitu nilivyovieleza ni pamoja udhaifu wa endeshaji wa haya mashirika ya uma,na kukazia Kwa kuendelea kuyalea ni sawa kuliangamiza taifa na watu wake...
HUZUNI KUBWA.
---
YAH: TAARIFA KUHUSU KUSITISHA HUDUMA KWA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYA AGA KHAN
Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu
2. Mfuko husajili vituo vya kutolea huduma za afya kuwawezesha wanufaika wake kupata huduma hizo nchi nzima. Hadi sasa Mfuko umesajili jumla ya vituo...
MUDA ni sehemu muhimu sana katika mpangilio wa mambo mengi duniani, na hii ni tangu kwa kuumbwa kwake, kutokana na maandiko ya vitabu vya dini, vimeandikwa kwamba hata Mungu aliutumia muda katika kuumba ulimwengu, na kuongeza kuwa Dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba ikawa ni mapumziko yake...
KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma yanayopelekea kudhorota kwa uendeshaji kunako sababishia hasara taifa.
Mgomo huo uliotolewa na baazi...
WAKATI niliposikia tangazo la maandamano lililotolewa na uongozi wa CHADEMA,Binafsi nilipata tumaini kuwa sasa ni ule muda uliosubiriwa na Watanzania kwa ajili ya kusimama,kupigana na kutetea haki zao za msingi kwa kupaza sauti kwa viongozi wao na kuwakumbusha juu ya wajibu na majukumu...
Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
Habari wapendwa?
Tafadhali naomba ufafanuzi wenu juu ya hili
Je, nini maana ya Part time worker? Na sheria ya kazi imetafsiri vipi juu ya Part time?
Na je, Huyu Part time worker ni lazima akatwe pesa kwa ajili ya mifuko ya akiba ya kijamii?
INATEGEMEA NA THAMANI YA HAYO MAJENGO,LABDA HUYU ALIEFUNGWA ALITAKIWA AJENGE JENGO LENYE UBORA ZAIDI YA HIVYO UNAVYOLIONA LEO LAKINI HAKUTIMIZA NDIO MAANA AKAFUNGWA,NA HUYU ALIYEACHWA PENGINE YEYE ALITAKIWA AJENGE JENGO LA KIWANGO CHA CHINI KULIKO LILILOJENGWA NA AKAJIONGEZA NA KULIFIKISHA HAPO...
unafikiri wakulima ndio waliokuwa wakifaidika na uuzwaji wa mazao ya vyakula nje,ni wafanya biashara ndio walikuwa wakifaidika,wao huchukuwa kwa kuwalalia wakulima,kisha huuza kwa bei kubwa,hata hivyo kushuka kwa bei sifikirii kama kunatokana na katazo,bali ni wingi wa upatikanaji wa mazao...
MAZINGATIO KUHUSU BIMA YA AFYA"TOTO AFYA KADI"
Kuondolewa kwa bima ya TOTO AFYA KADI kunaweza kukarudisha hatari ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano,vilivyokuwa vimepungua kwa kiasi kikubwa sana,na moja ya sababu zilozochangia kupungua kwa vifo hivyo ni pamoja na mpango huu wa TOTO AFYA...
Habari wana JF,
Binafsi napata mkanganyiko wa kimawazo kwa kuona Taifa kubwa kama TZ linashindwa kusimamia secta zake muhimu kama bandari na kuamua kutafuta wabia,kwa wakati kama huu wa utandawazi,teknolojia imekuwa,Nchi inawasomi wengi,bado tunafeli,alafafu tunazungumzia kukua kiuchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.