Recent content by Mdau jf

  1. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania JF Madaktari msaada wenu juu ya hii alama inaongezeka kila kukicha

    jamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
  2. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Ulipata tiba?
  3. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

    Hizo % sijazielewa
  4. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

    Mkuu naomba namba yako
  5. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

    Mkuu naomba namba yako
  6. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Yanayosimuliwa Kahama ndivyo yalivyo au wanaupaisha tu huo mji wa Wasukuma!

    Mijadala ya sifa na mapambio imeku mingi sana huku mitandaoni kuhusu Kahama, je yanayo ongelewa Yanauhalisia kweli?
  7. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Dawa ya tumbo kujaa gesi na kuungurumaa

    Hii Hali namimi naipata tumbo kuunguruma, na tumbo kujaa gesi hasa nyakati za alfajili, hii imepelekea mpaka nashindwa kufanya tendo la ndoa kabisa, Naomba msaada wako wewe uliponaje?
  8. Mdau jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Tupe mrejesho mkuu
  9. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata HESLB Loan Statement

    Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa. Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie NATANGULIZA SHUKURANI
  10. Mdau jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fedhea ya kubambika/kubambikwa mtoto, tujadili

    Vipi baba halali hajajitokezaga tuu
  11. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu hataki kula

    Mkuu ulifanya Nini mpaka akaanza kula, bila kutapika?
  12. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    6F0C558 BP
  13. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu napata ujumbe kama huu manaake Nini?
  14. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mie mgeni jamani natamani kujua hizo code zinamaana Gani??
  15. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Jamani Kuna hizi gb 5.5 za tigo ofa Kuna anaye fahamu??
Back
Top Bottom