Fedhea ya kubambika/kubambikwa mtoto, tujadili

Fedhea ya kubambika/kubambikwa mtoto, tujadili

Dah Kwasisi wanaume hii ni changamoto sana...kuna mdada nilipokuwa chuoni alinikomalia kuwa ana mimba yangu nikakubali mimba hadi akajifungua..ila kila nikimchekii mtoto hafanani na ukoo wetu kabisa....yani midomo ya dogo ndio balaa naamini siku huyo mtoto akijakumuona baba yake wa ukweli atakubali kozi midomo yake niyatofauti(Naamini itakuwa kaitoa kwa baba yake wa ukweli)....sema ndio hivyo tulikubali toka mimba imebidi tukubali na mtoto ..ila Duh!!!
Vipi baba halali hajajitokezaga tuu
 
Back
Top Bottom