Recent content by Mdanganyika2

  1. M

    Mwanaume kutoka nje ya ndoa

    Daa hii kali sana yaani jamaa wana leseni na wana uzoefu wa kutosha hivyo hawachagui gari la kuendesha. Daa kali kweli kweli ila play safe magari mengine hayana brake.
  2. M

    Utani na Msichana ninaye fanya naye kazi unataka kunivunjia ndoa yangu

    hii avator yako nimeipenda sana ni ubunifu wa hali ya juu wa hao jamaa
  3. M

    Installing HUSBAND Operating Systeam

    that is great mtu wangu very interesting
  4. M

    Jokes about men&women

    Hii kali mtu wangu
  5. M

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Hujakosea kabisa mkuu huyu spika hatendi haki bungeni hata kidogo, ila akae mkao wa kula chadema si mchezo hao jamaa wamejipanga kwelikweli, sidhani kama atamaliza muda wa uspika kwa jinsi wanavyompelekesha nina mashaka ataachia ngazi mapema
  6. M

    Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

    safi sana tunataka wasomi kama hawa.
  7. M

    Uwekaji wa password kwenye simu kwa wapenzi/kwenye ndoa

    Password ni kama zipu kila mtu anafunga yake na kuifungua kw awakati wake iweboju
  8. M

    Call for the nominations for the fourth IAP Conference for young Scientists

    Dear All, This is real. Young Tanzanian scientists changamkeni haraka kufanya application, deadline imekaribia. :A S clock:
  9. M

    Call for the nominations for the fourth IAP Conference for young Scientists

    Jamani wanasayansi vijana embu changamkieni fursa hii hapa. Please check deadline is approaching.
  10. M

    hapa inakuwaje wazee?

    Nadhani hao ni virus check your antivirus software.
  11. M

    misemo ya vijana wa kileo bwana.,

    Mganga haagiza samaki.
  12. M

    misemo ya vijana wa kileo bwana.,

    "Ukimuona mwanaume anatoka kwenye chumba cha mama yako na amevaa kanga ya mama yako ujue huyo ni baba yako":mullet:
  13. M

    Hello great thinkers!

    Karibu sana huku ni utani na jokes ila section zingine ni serious business. You are most welcome:rain:
  14. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Haya yote ni maoni mazuri ngoja tujaribu yawezekana tukafanikiwa.
Back
Top Bottom