Recent content by mdagano

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Tumefikia pabaya sana, siasa tu sitoe roho ya mtu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Unaweweseka wewe, nyie Chadema ndio mmeacha kupambana na CCM mnahangaika na Zitto, hiyo itawapoteza kisiasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

    Hizo ni mbinu kama mbinu zingine
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jana nilitangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimbo la Singida Mjini

    Aha ha ha ha ha ha huenda kweli hajapona vizuri, maana kawaida ya ajali zingine huwa mtu anaumia ndani kwa ndani, huenda ubongo ulichanganyikana na damu kidogo, maana sehemu kubwa ya hotuba ni kuelezea ajali na watu waliomsaidia kwenye ajali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanini UDSM ni cha kipekee Tanzania, Hawana mgombea, Hawajaenda kumshawishi yeyote

    Hicho ni kitovu cha wasomi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa atishia kuachia ngazi

    Mwanzo huwa mgumu jamani, lakini it will take off
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wapokeaji wa barua katika ofisi(Masijala)

    Muhimu unapopeleka barua uwe na dispatch book, na kama huna basi uwe na kopi ya barua na uwaombe pale masijala wakugongee muhuri wa received na tarehe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lema achinja mbuzi 25 nyumbani kwake kwa ajili ya sikukuu ya krismas!

    Na kweli apunguze unafiki
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

    Mchezo umeisha, mzee anapumzika
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam huyu kanisaidia sana mtafuteni

    Werema????
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukipewa kazi ya kutunuku vyeti hapa JF kwa uchangiaji wao utampa nani?

    Mimi tu nitajipa cheti
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yalifungia shindano la miss Tanzania

    Tena wangefuta tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Napendekeza huyu ndie awe mgombea

    Anafaa tu
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

    Bondei-safi Wahaya-bila katerero hariziki Wachaga-ukimpata asiekeketwa afadhali Wabena na wahehe-hawawezi mapenzi Wanyakyusa- wapo vizuri Wangoni-wanayajua Wagogo na warangi- shida wamekeketwa, lakini ukiwasugua juu juu utawaweza Wayao-shanga kwa wingi, mapenzi wanayajua ila umpate alietuli...
Back
Top Bottom