Septemba 2022 shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines Group) lilisaini mkataba wa kumiliki 49% ya shirika la ndege la Nigeria.
Hatua hiyo ikalifanya Shirika hili linalomilikiwa na serikali ya Ethiopia kwa 100% kuendelea kutawala anga la Afrika, kwani linamiliki mashirika mengine kama:-...
Wao pia wameungana na wenzao kutoa sababu kuwa ni urasimu, pamoja na kero wanayopata kutoka kwa watendaji wa mamlaka ya mapato TRA.
=======
Suala la wafanyabiashara wa Kariakoo kutangaza mgomo wa kufunga maduka limefika hadi maeneo ya Manzese ambapo baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya jumla...
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Indiana Mining kutoka Australia, Bi. Bronwyn Barnes, amesema Hatasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania, Air Tanzania, ikiwa Serikali Itashindwa Kuilipa Fidia ya Dola za Marekani milioni 98.83 (Tsh bilioni 231.7) kwa hasara ya uwekezaji wao nchini...
Jeshi la polisi Tanzania limewakamata mbakaji maarufu wa Afrika Kusini, Thabo
Bester, na mpenzi wake Dokta Nandipa Magudumana.
Stori ikoje?
2000s Thabo Bester alikuwa anabaka, kupora vitu, na kuwauwa wanawake ambao alikuwa anawatongoza kupitia mitandao ya kijamii. Alikua anaangalia wenye...
Mwanzoni mwa miaka ya 80 nchi ya Zambia ilitishwa na muuaji wa mfululizo (serial killer) na mbakaji aitwaye "mnyongaji wa Lusaka" Kati ya miezi ya Januari 1980 hadi Septemba 1980 alichukua maisha ya Wanawake 29 wakiwemo watoto wenye umri wa miaka 10.
Aliwakwepa Polisi wa Zambia kwa miezi...
Mehran Karimi Nasseri ni mwanaume ambaye ameishi ndani ya uwanja wa ndege kama nyumbani kwake kwa zaidi ya miaka 18. Serikali ya Iran ilimfukuza nchini bwana Nasseri bila kumpa pasi ya kusafiria (passport) wala viza kwa sababu alitoa kauli za kumpinga kiongozi mkuu wa nchi.
Alipotoka Iran...
Murang'a Kenya: Hadithi ya mzee Tom Ikonya (60) kufyonzwa zaidi ya Tzs milioni 12 na mwanamke waliyekutana naye baa imeibua hisia tofauti kwa watu.
Mzee huyu aliyetafuta mali kwa miaka mingi, Novemba 2022 aliamua kuuza baadhi ya mali zake na kwenda mjini Maragua. Alipofika tu akapitia baa...
Kifo cha Christian Atsu kimewahuzunisha wengi. Februari 6 akiwa Uturuki alipanga kurudi kwao Ghana kusalimia familia mara baada ya mechi kati yao (Hatayspor) na Kasimpasa iliyochezwa jioni ya siku hiyo. Kwenye mechi hiyo ngumu alifanikiwa kufunga goli dakika ya 98 kiasi cha kuwa na furaha...
Wengi wanaibiwa magari yao au vitu vilivyo ndani ya gari kwa sababu wezi wamevunja kioo n.k ila wezi proffesional siku hizi wanaweza kuku-time ukiwa unataka kuloki milango. Cheki hii👇
Simba anakutana na Raja huku Yanga atachuana na Mamba wa DRC Tout Puissant Mazembe. Unafikiri kati ya wekundu wa msimbazi na wananchi wapi wana uhakika wa ushindi?
Kifo cha Norah Vicent kiliibua hisia kwa jamii kutokana na namna utafiti alioufanya ulivyommaliza yeye mwenyewe. Norah alitaka kujua maisha ya mwanaume yakoje..ni changamoto zipi anapitia? Mwaka 2003, bila kubadili jinsia yake, akaamua ajifanye kuwa mwanaume; akaajiri mtu wa make up,mtaalamu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.