Stori ya Mbakaji na Mnyongaji wa Lusaka

Stori ya Mbakaji na Mnyongaji wa Lusaka

mcshonde

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
66
Reaction score
154
Mwanzoni mwa miaka ya 80 nchi ya Zambia ilitishwa na muuaji wa mfululizo (serial killer) na mbakaji aitwaye "mnyongaji wa Lusaka" Kati ya miezi ya Januari 1980 hadi Septemba 1980 alichukua maisha ya Wanawake 29 wakiwemo watoto wenye umri wa miaka 10.
IMG_7935.jpg

Aliwakwepa Polisi wa Zambia kwa miezi kadhaa na wakaazi wa Lusaka wakawa na wasiwasi na wasiwasi juu ya uwepo wake. Mwishoni mwa Januari 1980 ilibainika kuwa Muuaji huyo alikuwa ni mwanajeshi au anatumia sare hiyo kujificha.

Timu maalumu ya uchunguzi iliundwa na Polisi wa Zambia kwa operesheni iliyoitwa "Rosemary". Operesheni Rosemary iliongozwa na Superintendent William Mundia ambaye aligundua kuwa mnyongaji wa Lusaka alifanya kazi mwenyewe na alikuwa na mtindo fulani anapopanga njama zake.

Siku moja mrembo Nora Soko akafika polisi kusimulia kisa kilichomtokea jana yake. Nora akasema kuwa aliponea chupuchupu kuuawa. Akadai alikuwa kwenye kituo cha basi kiitwacho Kamwala alipofuatwa na kijana mwenye sauti ya kuvutia...wakapiga stori na akamtaka waondoke wote na waliposhuka akamsindikiza nyumbani...ndipo alipotaka kumuua.
IMG_7934.jpg

Mwezi uliofuata mwanadada Josephine Mukatasha naye akanusurika ila aliibiwa begi na vitu vingine kama saa.

Polisi wakapata maelezo ya namna muuaji huyo anavyofanania. Miezi iliyofuata mauaji yakaendelea.

Askari wakaamua kuwatumia warembo kumnasa muuaji. Mnamo Septemba 16, 1980 Josephine Mukatasha akiwa pamoja na Wapelelezi walikwenda kwenye kituo cha basi cha Kamwala na dili likatiki...muuaji na akameza ndoano.

Muuaji alimsogelea Josephine na kumsihi kuwa kuna mtu anaua wanawake hivyo yeye anataka amsindikize. Josephine akamwangalia mkononi akaona saa yake aliyoporwa mara ya kwanza. Ndipo askari wakamkamata na akatambuliwa kama Milton Sipalo wa kambi ya Arakan.

Mashahidi watatu, akiwemo Nora Soko na Josephine Mukatasha, walithibitisha kuwa aliyetaka kuwabaka na kuwaua alikuwa ni Milton Sipalo.

Siku moja baada ya kutambuliwa Sipalo akaomba apunge upepo juu ya paa la Polisi Central ambapo aliruka hadi kufa kama inavyoonekana kwenye picha.
IMG_7841.jpg

Hadi leo nia yake haijulikani.

Source: Zambian Observer
 
Mwanzoni mwa miaka ya 80 nchi ya Zambia ilitishwa na muuaji wa mfululizo (serial killer) na mbakaji aitwaye "mnyongaji wa Lusaka" Kati ya miezi ya Januari 1980 hadi Septemba 1980 alichukua maisha ya Wanawake 29 wakiwemo watoto wenye umri wa miaka 10.
View attachment 2556907

View attachment 2556908

View attachment 2556910

Hadi leo nia yake haijulikani.

Source: Zambian Observer
Ila maamuzi mengine magumu,maana hujui je ukifika chini utakufa au laa,na kama hujafa si ndio full kuvunjika vunjika!
 
Miezi yote hiyo aliwasumbua?polisi wangerudisha tu mpira kwa kipa waende kumzoom kwa sangula..mbona teknolojia hizo zipo.
 
Mwanzoni mwa miaka ya 80 nchi ya Zambia ilitishwa na muuaji wa mfululizo (serial killer) na mbakaji aitwaye "mnyongaji wa Lusaka" Kati ya miezi ya Januari 1980 hadi Septemba 1980 alichukua maisha ya Wanawake 29 wakiwemo watoto wenye umri wa miaka 10.
View attachment 2556907

Aliwakwepa Polisi wa Zambia kwa miezi kadhaa na wakaazi wa Lusaka wakawa na wasiwasi na wasiwasi juu ya uwepo wake. Mwishoni mwa Januari 1980 ilibainika kuwa Muuaji huyo alikuwa ni mwanajeshi au anatumia sare hiyo kujificha.

Timu maalumu ya uchunguzi iliundwa na Polisi wa Zambia kwa operesheni iliyoitwa "Rosemary". Operesheni Rosemary iliongozwa na Superintendent William Mundia ambaye aligundua kuwa mnyongaji wa Lusaka alifanya kazi mwenyewe na alikuwa na mtindo fulani anapopanga njama zake.

Siku moja mrembo Nora Soko akafika polisi kusimulia kisa kilichomtokea jana yake. Nora akasema kuwa aliponea chupuchupu kuuawa. Akadai alikuwa kwenye kituo cha basi kiitwacho Kamwala alipofuatwa na kijana mwenye sauti ya kuvutia...wakapiga stori na akamtaka waondoke wote na waliposhuka akamsindikiza nyumbani...ndipo alipotaka kumuua.
View attachment 2556908

Mwezi uliofuata mwanadada Josephine Mukatasha naye akanusurika ila aliibiwa begi na vitu vingine kama saa.

Polisi wakapata maelezo ya namna muuaji huyo anavyofanania. Miezi iliyofuata mauaji yakaendelea.

Askari wakaamua kuwatumia warembo kumnasa muuaji. Mnamo Septemba 16, 1980 Josephine Mukatasha akiwa pamoja na Wapelelezi walikwenda kwenye kituo cha basi cha Kamwala na dili likatiki...muuaji na akameza ndoano.

Muuaji alimsogelea Josephine na kumsihi kuwa kuna mtu anaua wanawake hivyo yeye anataka amsindikize. Josephine akamwangalia mkononi akaona saa yake aliyoporwa mara ya kwanza. Ndipo askari wakamkamata na akatambuliwa kama Milton Sipalo wa kambi ya Arakan.

Mashahidi watatu, akiwemo Nora Soko na Josephine Mukatasha, walithibitisha kuwa aliyetaka kuwabaka na kuwaua alikuwa ni Milton Sipalo.

Siku moja baada ya kutambuliwa Sipalo akaomba apunge upepo juu ya paa la Polisi Central ambapo aliruka hadi kufa kama inavyoonekana kwenye picha.
View attachment 2556910

Hadi leo nia yake haijulikani.

Source: Zambian Observer
Wangembaka kwanza na yeye.
 
Back
Top Bottom