Recent content by mckenzie

  1. mckenzie

    Tumbili adhulumiwa kimapenzi...

    Hahahahahahaahahahhaha, "tumbili wetu wa kigoma", hahahahhah
  2. mckenzie

    Mwigulu: Ngeleja na maige walionewa

    Sawa, nenda kapokee buku 7 za krisimasi
  3. mckenzie

    CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

    Tafsiri: bila Nasari AruMERU itakuwa AruBABATI, na haiwezekani, waanze na mlima, ukihama tutaelewana.
  4. mckenzie

    CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

    Ni sawa na kuondoa mlima meru na kuupeleka babati. Wana Arumeru Mashariki tumesema Nasari is enough! Peleka chama chako cha ukoo kwenu! Narendu!
  5. mckenzie

    Taarifa: "Pascal Mayalla hajafiwa na Mke"!

    Kwa jinsi nimjuavyo Paschal Mayala tangu mlimani akifanya Sheria (aliondoka kitaaluma kabla ya wakati sijui Kama alirudi), na kutokana na kazi zake za sasa nyingi, sidhani ndiye Yule mchambuzi makini wa JF Pascal. Mayala Hana muda wa kufanya utafiti wa kina hivyo, na pia uwezo wa analysis uko...
  6. mckenzie

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Kama wewe ndiye Magufuli ama ni ndugu yake ama mnufaika wa huo ujasiria-siasa (political entrepreneurship) , tambua kwamba ni dhambi pekee ambayo watanzania hawatakaa waisamehe!
  7. mckenzie

    Kapigwa na kijana mdogo

    Sawa tafuta
  8. mckenzie

    Kwa mawakili watakaoapishwa kesho kutwa 5th of December

    Karibu, next time go straight to the point!
  9. mckenzie

    Wamaasai wa Loliondo: Waziri Lazaro Nyalandu analiongopea Taifa & Rais

    Vipi assignment ya Mollel iliisha? Sasa una angalia upande wa pili? Wewe ni noma! Dhambi za NGO na wananchi zitakutafuna.
  10. mckenzie

    Kwa mawakili watakaoapishwa kesho kutwa 5th of December

    list of the petitioners s/n0 name of the petitioner objection no objection 1 mr. Robert masige 2 mrs. Grace mlondezi joseph mfinanga 3 mr. Rashidi abdulla fadhil 4 mr. Saidi mashaka kalunde 5 ms. Maria ashley gonsalves 6 ms...
  11. mckenzie

    Ananiambia anataka

    Ni Sawa
  12. mckenzie

    Kwa mawakili watakaoapishwa kesho kutwa 5th of December

    Hueleweki, what do you want to say? Unataka kujua majina tu upload hapa? Be specific
Back
Top Bottom