Hivi GEREZA LA HAZWA naweza kuisoma wapi yotee? Maana nimeishia ukurasa wa sitini na sita kule Facebook, huku JF naona kuna vipande vinamiss, msaada please
Mkuu tunashukuru ila ungewekahata vipande viwili vitatu hivi kufidia aisee, but kazi yako ni njema sana, muundo, mtindo, wahusika, matumizi ya lugha na mandhari vimekaa poa sana
Natafuta miwani ya jicho moja(yaani kwa mtu anayependa kufunga jicho anapopiga shabaha ndio wanaoitumia), Au kikamba fulani hivi wanavaaga watu kinakuwa na kijisehemu cha kufunika jicho moja. Kazi yake ni kufunika jicho moja, au miwani ya kuzibia jicho moja ili mtu aweze kuangalia kwa jicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.