Miwani ya jicho moja

mckangalu

Member
Apr 27, 2015
27
4
Natafuta miwani ya jicho moja(yaani kwa mtu anayependa kufunga jicho anapopiga shabaha ndio wanaoitumia), Au kikamba fulani hivi wanavaaga watu kinakuwa na kijisehemu cha kufunika jicho moja. Kazi yake ni kufunika jicho moja, au miwani ya kuzibia jicho moja ili mtu aweze kuangalia kwa jicho moja.

Msaada wenu wana JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kashone kwa fundi.

Hivyo vinaitwa eye patch mara nyingi kuvaliwa na watu waovu waliong'olewa macho kama hawa
nick-fury-eyepatch-2.jpeg
CW-EWO044%5B0%5D.jpeg
J-301-3-2.jpeg

#bamia_ndefunene
 
Back
Top Bottom