wananchi inabidi tutoe ushirikiano kwa polisi la sivyo tuta kwisha.hii ni hatari bunduki moja ikilia wengine hatulali sasa hizo kumi si nchi nzima tutakwisha?kama mtu anajua walipo majambazi julisha kwa ocd aliye karibu yako.
bora magu.sengerema tumezungukwa na ziwa lakini maji ni anasa.ngareja kwake hakuna hata bomba kwa kuogopa kuoga maji yenye vyura kaamua kuishi dar.nasikia anataka urahisi hii kazi kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.