kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Chini ya Uongozi wa S.Muhongo,Wizara ya NM inapiga hatua haraka haraka
Ipi haipigi hatua kwa tathmin yako mtaalam
Chini ya Uongozi wa S.Muhongo,Wizara ya NM inapiga hatua haraka haraka
Huo siyo mgodi mpya, ni ule ulewa Tulawaka ambao Afeican Barrick Gold wamechimba dhahabu karibu yote, ndiyo Stamico wameachiwa mapango wakombeleze mabaki. Hahahahahaa... Watanzania fungu la kukosa!
kama wazungu wamecheua serikali itaweza kumeza? Ujanja ujanja wenu tutauona unapoishia kwa maana viwanda na mashirika madogomadogo yamewashinda leo mnakia kwenye mgodi? tutawasikieni muda si mrefu mnapigizana makelele
Duh! siku zote nilidhani migodi imemilikiwa na kuwanufaisha Watanzania, noma sana aisei.
kadoda11 Bulldog Geza Ulole
Acha kuongea pumba, una facts za kujustfy ur nonesence?
Mkuu MAGAMBA KILLER tena kurun mgodi kwa Public Procurement Act,ngoja tuone
wewe prof. ni msomi sana, haiwezekani miradi mikubwa kama hiyo iwe ya kutatua ajira tu. kwa hiyo nchi ina tatizo la ajira pekee? au ndo miradi ya kampeni? kuajiri watu tu hata kama hamna uzakishaji? nafurahi kusikia miradi kama hii inafunguliwa lakini you have to focus, broadly, what to address, ongezea basi kwamba mradi utaongeza pato la taifa, kupunguza matatizo ya afya, elimu, kisha ujenzi wa miradi mingine kutokana nao (multiplier effect).
ONYO: najua hapa kuna wafia serikali/chama watakuja kuharisha kama kawaida yao kwa sababu hawajui kuelewa kilichoandikwa, nawasubiri. cc MSALANI Lizaboni
Naona umejishtukia mapema ili kujilinda