Kwa hili CCM mtusamehe jimbo la Magu

Kwa hili CCM mtusamehe jimbo la Magu

Mh2

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
90
Reaction score
11
Natumia fursa hii kuwaomba na kuwapa taarifa wafurukutwa na washika mikia wa Chama Cha Mapinduzi ya kuwaweka katika hali mbaya wananchi wa jimbo la Magu. CCM mmelitumikia jimbo LA Magu kwa muda mrefu sana, na tangu muda aka kipindi hicho hakuna lolote ambalo mmelifanya. Sasa nawapa taarifa kuwa mwaka kesho mnalalia kuti kavu. CHADEMA kwa namna yoyote ile lazima tunachukua jimbo.Nawapa intro nyinyi kwa kuwatumia pilisi kama chambo yenu kwa kuwatisha wapiga kura pamoja na Mkuu wa wilaya, nawaambieni timu hii lazima hata kwa kumwaga damu tunachukua jimbo.
 
Nitakaza but mpaka kieleweke mwaka kesho. Na jimbo lazima nichukue.
 
Umeandika utadhani uko kwenye kucheza mbina. All in all CCM haitakiwi popote duniani
 
natumia fulusa hii kuwaomba na kuwapa taarifu wafulukutwa na washika mikia wa chama cha mapinduzi ya kuwaweka katika halo mbaya wananchi wa jumbo la magu.ccm mmelitumikia jumbo la magu kwa muda mrefu sana,natangu mud a aka kipindi hicho hakuna lolote ambalo mmelifanya. Salsa nawapa taarifa kuwa mwaka kesho mnalalia kuti kavu.chadema kwa namna yoyote ile lazima tunachukua jumbo.nawapa into nyinyi kwa kuwatumia pilisi kama chambo yenu kwa kuwatisha wapiga kura pamoja name mkuu wa wilaya,nawaambieni temu hii lazima hats kwa kumwaga damu tunachukua jimbo.
cdm ni wazuri sana kupayuka game ikifika wanajinyea moto uliwashwa kalenga,chalinze bado unawaka
 
cdm ni wazuri sana kupayuka game ikifika wanajinyea moto uliwashwa kalenga,chalinze bado unawaka

Marikiti we mwenyewe utaona MAGU.mambo yako motomoto
Na kwa sasa tunasafu mpya ya uongozi kwa hiyo kazi ni pevu mwaka kesho.
Limbu mi nakujua ni kibaraka wako il a MPE taarifa halambi dume IPA atalamba jike temu ijayo.
 
bora magu.sengerema tumezungukwa na ziwa lakini maji ni anasa.ngareja kwake hakuna hata bomba kwa kuogopa kuoga maji yenye vyura kaamua kuishi dar.nasikia anataka urahisi hii kazi kweli.
 
Back
Top Bottom