Recent content by mchumihalisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania BASATA yasajili makumi ya Wasanii Dodoma

    Baraza la sanaa Tanzania BASATA limeendelea na uhamasishaji wa Wasanii Kujisajili kwenye mfumo wa Usimamizi Taarifa za Msanii 'Amis' pamoja na kuwasaidia Washiriki kujisajili kwenye Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) waliokua na changamoto za Kimtandao. Akizungumza na Wasanii wa Dodoma Kwanza Afisa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Biashara CBE Dodoma Campus wampa Certificate Maua Sama.

    Ni dhahiri sasa kwamba Sanaa ya Taifa letu inazidi kukua siku hadi siku na baadhi ya Watu waliokua wanadhani hii sanaa uhuni kama sio kubadilika basi hawapo tena. Kwa hivi sasa imekua kawaida Waimbaji mbalimbali wa 'Bongo Fleva' wakialikwa sehemu nyeti na kupewa upendeleo wa hali ya juu jambo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ruangwa piga kazi, achana na maneno ya wasio na nia njema na watanzania

    Moja kati ya taarifa nilizovutiwa nazo baada ya kuingia mtandaoni ni kuhusu kinachoitwa ‘Umafia Mkubwa katika uuzwaji wa Korosho, Viongozi kuwanyonya Wakulima’ Sababu kuu za kunivutia ni sababu Korosho iliwahi kuingia kwenye mzozo mkubwa sana na Rais aliyepita wa awamu ya tano Mh. Magufuli kiasi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali iwalinde Sibatanza dhidhi ya wapiga deal

    Najaribu kuvuta kumbukumbu na kumbukumbu hizi zinanirudisha nyuma mpaka Oct 2018 wakati Rais wa awamu ya tano Dkt John Magufuli alipoagiza kukusanywa kwa Wakulima korosho zote na baadhi ya Wanunuzi kufungiwa kwa sababu ya mazingira mengi ya kutunyonya sisi wakulima ikiwemo ‘Kangomba’ ambayo sio...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

    Lakini yule Naibu Waziri kwenye Clip ya Watendaji kakiri wazi kuwa kulikua na shida na wamemuomba Waziri Mkuu mpk mwishoni mwa Nov aende kuzindua. Wabongo mbona km hatuna jema hivi? Mnakatisha tamaa Viongozi wetu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aombwa kurudi kuzindua barabara mwishoni mwa mwezi wa 11

    Mimi ni mmoja kati ya watu waliokua wanaifatilia Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Mikoa ya kusini mwa Tanzania, Pamoja na kwamba Ziara nyingi za PM akiibuka sehemu hapakosi jambo au kumuacha mtu salama Lakini nilikua najiuliza WHY PM hakumpa nafasi Naibu Waziri aelezee suala la kukosekana kwa Taa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

    Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa. Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

    Uwaziri wa kuvunja sheria???
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

    Tangu Rais JPM atoe hotuba yake akiwa Chato juu ya sakata la Makontena ya Bandarini ambayo yametajwa kuwa ya 'Makonda' wa Dar na Rais akaeleza kinaga ubaga msimamo wa Serikali kuwa lazma yalipiwe kodi ni wengi wameshangilia uamuzi huu wa Rais, wengine wakaenda mbali kuwa akitumbuliwa watachukua...
  10. M

  11. M

    JamiiForums Tanzania Cha kuzingatiwa kuhusu Makontena

    Halafu unaambiwa vya watoto wa maskini wanaokaa chini...! Ndo unajiuliza watoto gani wa masikini wanaweza kukalia vile viti?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona kuhusu Makontena ya RC na Waziri Wa Fedha

    Nimejaribu kupitia mijadala mbalimbali juu ya issue ya Makontena yanayotajwa kuwa ya RC dhidi ya tuhuma za Kodi zinazomkabili..! Watu wengi wanasema busara itumike busara itumike lakini ukiangalia hili sakata toka mwanzo kwa RC hakukua na busara leo Twitter nmeona clip fupi inazunguka RC akisema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Cha kuzingatiwa kuhusu Makontena

    Nimejaribu kupitia mijadala mbalimbali juu ya issue ya Makontena yanayotajwa kuwa ya RC dhidi ya tuhuma za Kodi zinazomkabili..! Watu wengi wanasema busara itumike busara itumike lakini ukiangalia hili sakata toka mwanzo kwa RC hakukua na busara leo Twitter nmeona clip fupi inazunguka RC akisema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

    Bora uje kutest na mie achana na Masai hawajui hizo vitu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniwekea KIBAMIA ya Rostam.

    Hizi dedication zingine ni ngumu sana kuzielewa kwa haraka, Nimerudi usiku home nimemkuta shemeji enu anajiandaa kulala basi huku na huku akaamua kuweka wimbo wa Kibamia wa Rostam, kilichontisha zaidi ni yeye kuvutiwa na Chorus na kuiimba kabisa 'Sitaki Kibamia, Mwanaume mashinee' kiukweli...
Back
Top Bottom