Recent content by mchosho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    asante ndugu yangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    nina degree ya sheria,nimevolunteer kwa miaka iyo miwili huku nktafta kaz,lakini sijapata,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    asante
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    jamani wana jf,mimi nimsichana,memaliza chuo mwaka juzi,nimetafta ajira sijapata,naomba wenye uwezo mnipe mkopo nijiajiri,nina plan ya kufanya biashara ya chakula yani kupika. nahtaji mtaji wa mil.moja na nusu.naamini baada ya muda ntarudisha mkopo. naombeni mchango wenu na ushauri pia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa dada mrembo kuwa manager wa pub tabata segerea

    Ni waiter jamani,hyo manager kaweka ili kupata warembo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jamani niende au nisiende? msaada....

    usiende subiria ya milioni mbili inakuja
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/kibarua

    kwani mtoa mada kasema anataka ubeki 3,we kwanin umwambie aje umpe,wakat kasoma hotel management..hzo dharau.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/kibarua

    Acha dharau,awe beki 3 kwenu wkt we mwenyew huna kazi na ndo kaz yako hapo kwenu japo hulipwi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ajira ,mdada wa stationery anatafutwa kwa haraka

    Mshahara umeongeza au ni ule ule?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Interview Exim Bank

    vipi,umeshaitwa exim?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Exim Bank

    Najua,ndo mana nikauliza,nlitegemea kujibiwa na mtu anayefahamu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Exim Bank

    sawa,najua weng tuliofanya tupo huku,thats y nkauliza kama wameita
  13. M

    JamiiForums Tanzania Exim Bank

    jamani mwenye update ya interview ya exim,plz
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa waliofanya written interview nhif/

    hakuna uongo hapo,nhif ni kujuana na rushwa
Back
Top Bottom