Natafuta kazi/kibarua

Natafuta kazi/kibarua

Thanks! Ntashukuru ndugu.
mkuu ntakuunganisha na rafiki yangu mwenye fani yako muwe mnabadilishana mawazo na kupeana michongo. wewe ni mgeni dar so ntakupa mwenyeji wako. but ana familia yake!. mia
 
Thanks kwa encouragement. Ndo naandaa barua hapa,next wiki ntazisambaza mahotelin
Utapata tu kwa ushauri unaweza tembelea hotel za hapa mjini na kuulizia vacancy mkaa bure si sawa na mtembea bure THE GLORY OF GOD BE WITH YOU
 
Hao Wanaojifanya Kukuahidi Kazi..Hawana Lolote, Wanatafuta Maujiko Tu!
Tumewazoea!!
 
utapata tu, hao wanaokukatisha tamaa ni wale waliosomea fani za uhasibu, it na nyinginezo ambazo kwa sasa ni sokolessss!

utakuwa na matatizo wewe c bure. Kama wewe profession yako ni sokoless usidhan na wengine wako hivyo hivyo. Umefanyia wapi hiyo research?
 
Kwanza sio umejidharirisha ni umejidhalilisha,na pili sidhani kama lengo la huyu mtu ni mimi nimpe kazi au wewe umpe kazi bali hata ushauri wa nini AFANYE ILI APATE KAZI KIRAHISI ni msaada mkubwa.hii ni forum ni mahali watu wanakutana na kubadilisha mawazo,if u knw something that means we all know. Lets say juzi katika pita pita zangu nimekutana na tangazo la kazi somewhere kwenye hotel fulani,leo sijamwambia huyu mtu akaenda kujaribu bahati yake?

I do wish wote humu JF wanekuwa kama huyu Ray05
 
Back
Top Bottom