Ajira ,mdada wa stationery anatafutwa kwa haraka

SUYA

Senior Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
131
Reaction score
21
Awe na uwezo mkubwa wa kufanya kazi zifuatazo
(a)Microsoft office 2007
( )

2.Awe na uwezo wa ku designing :-
(a) Wedding cards,send off cards,business cards,flyers
(b) Calender ,brochure, etc

3.Awe na uwezo mkubwa wa microsoft 2007 .ms world.excel.publisher
(a) typing speed,type setting, printer setting

4.Sifa za ziada
(a)adobe illustarator
( b) adobe indesign

Mwenye sifa tajwa hapo juu na nyinginezo tuwasiliane kwa simu namba 0755009950, 0717144200 email ebenmsuya@gmail.com

Tafadhali usibeep piga simu.

Mshahara ni makubaliano. ofisi ipo SAVEI KARIBU NA MLIMANI CITY NA SINZA MAPAMBANO

NAFASI BADO IPO MOJA NATAFUTA MSICHANA MWENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI NA SIO ANAYEJIFUNZA.
TAFADHALI KAMA HUNA NIA YA KAZI AU HAUNA SIFA TAJWA HAPO JUU TUSIPOTEZEANE MUDA.
KUMBUKA KUTAKUWA NA INTERVIEW WENGI WANAINGIA MITINI
SIO TABIA NZURI KUBEEP.PIGA SIMU UKIWA SERIOUS TU NA UNASHIDA NA KAZI.
ASANTENI SANA

INTERVIEW
DESIGN BUSSINES CARD
TYIPING SPEED
 
mkuu Suala La Usafi Wa Ofisi Nipo Mimi!
 
Jamani humu jf watu wenye shida na ajira hampo?
 
kumbe unamfahamu..kwani mwanzo ilikuwa pesa ngapi?
mshahara ni makubaliano ukiona haukutoshi unatafuta penye maslahi zaidi kwani wapo wenye shida wanatafuta hata huo mdogo hawaupati?
 
Sawa Nimekupata Kiongozi!
 
Mkuu suya ushapata mdada ninae mmoja hapa so kabla sijapiga simu nambie kabisa
 
ASANTE SANA JF . MWITIKIO ULIKUWA MKUBWA SANA

Nimepata msichana mmoja na tayari yupo kazini bado mmoja na nitafanya interview kesho.
Matatizo niliyokumbana nayo ni kama yafuatayo.

1.Kudharau mshahara wa Stationery.
2.Kuwa na vyeti vikubwa na kushindwa kufanya mambo ya msingi mfano kuchapa kazi, kutengeneza business card
3.Mtu kupinga simu na kusema amesomea program zote akiambiwa kuna interview anaingia mitini

USHAURI WANGU WATU WASIFIKIRI KUWA NA CHETI NDIO KUWIN MAISHA KWA KUPATA KAZI NZURI BILA JASHO
NARUDIA TENA ASANTE SANA JAMII FROUMS.
 
Kazi ilikuwa geresha tu ila ulitaka kutoa ujumbe huu tu safi sana nakubaliana na wewe kusoma keulewa kukesha ni mbwembwe tu!!
 
hapana ndugu yangu kazi ipo na leo nifanya interview wasichana wawili na sjapata anayefit bado natafuta mmoja nafasi iko wazi natafuta msichana mwenye uwezo wa kafanya kazi na sio mwenye vyeti. mmoja leo kaingia mitini baada ya kumwambia saa moja interview office ipo sinza mapambano na savei, savei nimempata mmoja na ameanza kazi
 
Nafasi bado ipo tatizo la wabongo wameshazoea kudanganywa sana
 
Awe na uwezo mkubwa wa kufanya kazi zifuatazo
(a)Microsoft office 2007
( )

2.Awe na uwezo wa ku designing :-
(a) Wedding cards,send off cards,business cards,flyers
(b) Calender ,brochure, etc

3.Awe na uwezo mkubwa wa microsoft 2007 .ms world.excel.publisher
(a) typing speed,type setting, printer setting

4.Sifa za ziada
(a)adobe illustarator
( b) adobe indesign

Mwenye sifa tajwa hapo juu na nyinginezo tuwasiliane kwa simu namba 0755009950, 0717144200 email ebenmsuya@gmail.com

Tafadhali usibeep piga simu.

Mshahara ni makubaliano. ofisi ipo SAVEI KARIBU NA MLIMANI CITY NA SINZA MAPAMBANO

JAMANI HII KAZI BADO IPO HAIJAPATA MTU TATIZO NI WATU KUSOMA NA KWENDA KUKAA MAJUMBANI PILA KUFANYA MAZOEZI
MIMI NATAFUTA ANAJEJUA KAZI NA SI KUDONOA DONOA
ANAJEJUA VIZURI
MICROSOFT OFFICE 2003 AU 2007
ANAYEJUA KU DESIGN BUSSINES CARD NA SIKUJUA TEMPLATES
ANAYEJUA VIZURI MICROSOFT WORD
KUSCAN NA KU ATTACH FILE KWENYE KAZI MBALIMBALI
 
watu wameshndwa interview au maslah hakuna?
 
Back
Top Bottom