Naomba kujuzwa waliofanya written interview nhif/ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa waliofanya written interview nhif/

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MASHARL, Sep 30, 2012.

 1. M

  MASHARL Senior Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau sory kama kuna yoyote mwenye taarifa kama nhif walishaita watu kwa oral interview baada ya writen.
   
 2. m

  mafian Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naskia watu wameishaanza na kazi kabisa......
   
 3. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Uongo mkavu!
   
 4. G

  Grace James Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wameshaitwa na kupangiwa vituo vya kazi leo! but hakukua na oral interview recruitment yao imebase kwenye ileile written interview. it's so sad!
   
 5. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  UTUMISHI NA TAKUKURU chunguzeni haya mashirika. mtu anaweza akajua kuandika na kujibu kwenye karatasi kumbe ni BUBU. sasa cjui kama ni Public Relation Officers position inakuwaje na oral haikufanyika. maake huyo sio mtaalamu wa maabara kwamba ataandika na Dkt atasoma na kuandika dawa.
   
 6. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  NHIF ni hopeless maandazi
   
 7. s

  sajosasi Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  wapo orientation tangu jana na waliongeza idadi mpaka 10, its over guyz 2ckate tamaa uh
   
 8. m

  mchosho Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nhif =rushwa
   
 9. m

  mchosho Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna uongo hapo,nhif ni kujuana na rushwa
   
 10. M

  MASHARL Senior Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [sup]nashukuru wadau kweli takukuru of tz is nothing[/sup]
   
 11. LuisMkinga

  LuisMkinga JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 180
  bima ya afya!!!!! sanda kalawe
   
 12. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mnaulizia Bima ya Afya i.e NHIF? Pale kama huna wa kukushika mkono umekwisha! Mliofanya hiyo Interview mmefanywa migongo ya kupandia wengine.
   
 13. w

  wakupita Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Silly Watanzania tumekua watu wa kulaumu kila kitu,bila kuwa na tangible evidence!
   
 14. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Pole sana. Najua ni miongoni mwa mliobebwa hapo NHIF!
   
 15. w

  wakupita Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Strange watanzania eti huwa anajiita great thinker really????
   
 16. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Nionyeshe post yangu yoyote niliyowai kujiita Great Thinker! Nina rafiki yupo hapo hapo NHIF, yeye ameshaniambia bila memo huwezi kuingia hapo! Na hata mwenyewe ananiambia aliingia kwa memo. Sasa wewe akili zako mgando hutaki kukubali kwa sababu unaona aibu!
   
Loading...