dunia tunapita
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 356
- 61
Nina cheti cha hotel management na nina uzoefu na kazi ila sasa nimehamia Dar natafuta kazi katika hotel au mgahawani. Kazi ya reception au waitres pia.
hapa Umejidharirisha Tu Nj, Hakuna Atakae Kupa Kazi, Hapa Mabosi Wote Majanga!
Jiajiri na uajiri wengine.
Kwa mtaji wa nani?
utapata tu, hao wanaokukatisha tamaa ni wale waliosomea fani za uhasibu, it na nyinginezo ambazo kwa sasa ni sokolessss!
hapa Umejidharirisha Tu , Hakuna Atakae Kupa Kazi, Hapa Mabosi Wote Majanga!
utapata tu, hao wanaokukatisha tamaa ni wale waliosomea fani za uhasibu, it na nyinginezo ambazo kwa sasa ni sokolessss!
atume wapi sasa[Tuma CV yako
Kiongozi!! Labda Umuulize Wewe!