Anatafutwa dada mrembo kuwa manager wa pub tabata segerea

Dada mzuri na mrembo anahitajika kuwa manager wa pub mshahara TZS 200,000.00 kwa mwezi. mawasiliano ani PM
..., lo! Kwanza awe mzuri na mrembo, kazi Manager: Mbona mshahara kidogo sana bana?
 
Uzuri na urembo unapima kwa kipimo gani??? Maana ni perception tu ndio inayo determine uzuri au urembo.
 
Kwanini usingeweka kigezo cha mchapakazi, badala yake unataka awe mrembo?
 
Dada mzuri na mrembo kwenye kazi,inaonekana we una ajenda ya siri!
 
Hivi hiyo kazi ni ya kuuza SURA au hduma za hapo pub??
 
..., lo! Kwanza awe mzuri na mrembo, kazi Manager: Mbona mshahara kidogo sana bana?

Urembo ni pesa jamani, wala si wa kuchezea.

Kutengeneza kucha = shs. 10,000 x 4 (kila wiki mara moja) = 40,000/=
kutengeneza nywele kwa kuosha na kuseti (bado hazina dawa) 5000 x 4 = 20,000
kupaka dawa 20,000/=
wanja, maskhara, rangi za midomo, poda, nyusi = 100,000/=
lotion, mafuta ya kulainisha ngozi, mafuta ya kung'arisha, scrub = 200,000

Siwezi kuendelea,maana hizo laki mbili zako hazitoshi kumfanya mtu awe mrembo. Tafuta tu wa kawaida na si mrembo kama unavyotaka.
 
bora uyaseme hayo best maana watu wanadhani kuwa mrembo mchezo,labda ni receptionist amekosea maana character mojawapo ni hiyo, otherwise wameniboa hapo waliposema mrembo bora wangesema mchapakazi.
 
Urembo ni pesa jamani, wala si wa kuchezea.

Kutengeneza kucha = shs. 10,000 x 4 (kila wiki mara moja) = 40,000/=
kutengeneza nywele kwa kuosha na kuseti (bado hazina dawa) 5000 x 4 = 20,000
kupaka dawa 20,000/=
wanja, maskhara, rangi za midomo, poda, nyusi = 100,000/=
lotion, mafuta ya kulainisha ngozi, mafuta ya kung'arisha, scrub = 200,000

Siwezi kuendelea,maana hizo laki mbili zako hazitoshi kumfanya mtu awe mrembo. Tafuta tu wa kawaida na si mrembo kama unavyotaka.

hizo gharama unazotaja wewe zitakuwa-covered kupitia urembo wa huyo dada! jamaa atakuwa anamgegeda na kugharamia hizo expenses! lakini kazi kwa kigezo cha urembo huwa hazidumu au mradi unakufa!...'Penzi kitovu cha uzembe (Ngoswe)!
 
Kumbeeeeeeee!hapo nimeelewa Kamanda. Kumbe jamaa anatafutia pa kuponea! inawezekana yule wa hom ameshindwa kumeintain urembo! wamama wana kazi mwe! ukianza kuchuja jamaa anatafuta wa ofcn
 
mpango mzima ndo huo happiness! tena ajira za hivyo huwa hazidumu..jamaa akishatosheka na huyo bibie anaanza kumletea zengwe zengwe mara umetia short mara unachelewa kufungua ofisi mara...ili atoke na aajiri 'kifaa' kingine.
 
Urembo ni pesa jamani, wala si wa kuchezea.

Kutengeneza kucha = shs. 10,000 x 4 (kila wiki mara moja) = 40,000/=
kutengeneza nywele kwa kuosha na kuseti (bado hazina dawa) 5000 x 4 = 20,000
kupaka dawa 20,000/=
wanja, maskhara, rangi za midomo, poda, nyusi = 100,000/=
lotion, mafuta ya kulainisha ngozi, mafuta ya kung'arisha, scrub = 200,000

Siwezi kuendelea,maana hizo laki mbili zako hazitoshi kumfanya mtu awe mrembo. Tafuta tu wa kawaida na si mrembo kama unavyotaka.

Bado hajaingia boutique......top 1 60000.....handbag....viatu.....200000 inatosha wiki moja tu......tena umebania .......
 
umtumie kama chambo kupata wateja, akipata ukimwi na kuanza kukohoakohoa unamfukuza na kuweka mwingine!
 
Bado hajaingia boutique......top 1 60000.....handbag....viatu.....200000 inatosha wiki moja tu......tena umebania .......

yaani hata hiyo wiki ni bahati maana bado usafiri sijui kama mrembo atapigania daladala, kama hatampa gari basi itakua ni tax daily,..hapo boutique kuna kununua kiatu cha kufanana na handbag.... acha kabisa.. hapo kuna kilichofichwa
 
njoo mitaa ya tbt kimanga ulizia flora pub then utamkuta dada mrembo sana anaitwa glory.. Ungea nae anaweza akakufaa hapo; ila jiandae kupanda dau zaidi ya anayolipwa hapo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom