Kalley Pandukizi namjua vizuri sana, Amezaliwa Ocean Road Hospital Miaka ya sabini. Baba yake ni Mdoe wa Bagamoyo lakini si ndugu na Kikwete. Mama yake ni Mzigua wa Turiani. Ameishi magomeni makuti tangu akiwa mdogo, nyuma ya kanisa katoliki mtaa wa Mlandizi, Baadae akaishi mtaa wa Ufipa...
Kutoka kushoto Katibu wa Chadema Washington DC Ndugu Liberatus Mwang'ombe, Mh Freeman Mbowe, Abuu Shatry wa Swahilivilla na Mwenyekiti wa Chadema Washington DC Ndugu Kalley Pandukizi.
TAARIFA KWA UMMA
CHADEMA WASHINGTON DC, MAREKANI YAPATA UONGOZI MPYA
Kikao cha Viongozi wa Tawi la Chadema Washington DC, Marekani, tarehe 27 July 2013 kimemteua Ndugu Kalley Ammy Pandukizi kuwa Mwenyekiti wa Tawi kuchukua nafasi ya Ndugu Cosmas Wambura. Awali Ndugu Kalley Pandukizi alikuwa...
Nimemsikiliza Vizuri Kalley Pandukizi, Aliyoongea yote ni ya maana sana na kuzingatiwa hasa kuhusu suala la Tume ya Katiba, Serikali kutumia Nguvu za Dola kupambana na Vyama vya Siasa na Suala la Propaganda Chafu zinazoenezwa na Chama tawala kwa Viongozi wa Juu wa CHADEMA hasa Dr Slaa. Huyu...
Ni kweli mwanzisha mada nafikiri ameshindwa kutofautisha Blog na Website. Hayo yote anayozungumzia yanapatikana katika tovuti (website) ya Chadema. Kumbuka pia CCM wana tovuti na Blog. Kwenye tovuti ndio utaona hayo unayosema na kwenye blog yao hakuna hicho unachokisema. Nafikiri kwa upande wa...
Wewe tuntemeke na CCM wenzio hamuwezi hata siku moja kuangusha ngome imara ya CHADEMA. Njooni na propaganda zenu za kila aina lakini bahati nzuri wapenzi na wanachama wengi wa CHADEMA wamekwenda shule hawawezi kuyumbishwa na Propaganda zenu. Kwanza napenda kukuweka wazi wewe na Magamba wenzio...
Kwanza lazima tujiulize hao watu waliopigwa mabomu walikuwa eneo gani? Pili walikuwa wanahatarisha maisha ya wengine au kufanya jambo lolote linalohatarisha usalama wa nchi? Hapo walipokusanyika lengo lao hasa lilikuwa ni lipi? Chanzo cha mkusanyiko wao ni nini? Tutakapopata majibu ya maswali...
TAMKO LA WANACHAMA WA CHADEMA MAREKANI KUTOKANA NA VITENDO VYA KUUAWA KINYAMA WAPENZI NA WANACHAMA WA CHADEMA
Chadema Blog: TAMKO LA WANACHAMA WA CHADEMA MAREKANI
TAMKO LA WANACHAMA WA CHADEMA MAREKANI KUTOKANA NA MATUKIO YA KUUAWA KINYAMA WANACHAMA NA WAPENZI WA CHADEMA
Chadema Blog: TAMKO LA WANACHAMA WA CHADEMA MAREKANI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.