Polisi wajikoroga kuhusu kifo cha mwenyekiti wa CHADEMA Usa River

Inasikitisha sana kuhusu kifo cha kamanda wetu ambae tulilinda nae kura hapo Arumeru kwakweli ni pigo sana
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
we kada uliyebaki wa magamba kila siku nakuuliza utaki kunijibu ulizaliwa enzi za pepopunda?
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

samtym emu jaribu kushirikisha iyo ndonga yako cuz tumechoka kuona up****v wako apa jamvin....au pesa ndo imekutoa utu kiasi icho?
 
Polisi wanadhania kuwa amani na utulivu vitadumishwa na kauli za kutenganisha siasa na uhalifu wa aina hii. Njia pekee ya kudumisha amani na utulivu ni kwao wao polisi kufanya kazi bila ya kuangalia kuwa watuhumiwa ni kina nani. Historia ya Tanzania inaonesha wazi kuwa baadhi ya wana CCM wenye akili finyu za kudhania kuwa bila ya kuwa madarakani maisha kwao hayaendi- ndiyo wamekuwa na tabia ya kuua innocent people kwa kuwa tu hawawakubali, kuanzia Igunga etc. Wote tunakumbuka jinsi ambavyo Meya wa Mwanza wa zamani kupitia CCM- Bw. Leonard Bandiko Bihondo alivyomtumia kijana kumuua katibu wa kata ya Isalamilo bi Bahati Stephano kwa kuwa tu alimuona ni kikwazo kwa udiwani wake. Je kwa nini wahuni kama hawa ndani ya CCM wasimuue Kiongozi wa chama kinachoonekana ni hatari kwa mustakabali wao?.

Au Polisi wanataka kutuambia kuwa mauaji haya ni sehemu ya mkakati maalum wa kuipunguza nguvu CDM unaofanywa na vyombo vya usalama na hivyo wanasiasa hawahusiki kwa hiyo si mauaji ya kisiasa?. Hii conclusion ya kuwa mauaji hayahusiani na siasa maana yake ni kwamba wanajua mauaji yanahusiana na nini, hivyo waueleze umma chanzo hasa cha mauaji haya mbali na kuwa siasa, kwani wanajua. kama kuna 'a', 'b', 'c' na wewe unasema si 'b', bmaana yake unajua kuwa ni either 'a' au 'b'. vinginevyo unaacha vyote on the table wakati ukitafuta jibu sahihi.
 
"Walioua wata-Step Up wenyewe na watasema ni nani alewatuma na kwa sababu gani" - Maneno ya ndugu zake kamanda marehem Mbwambo. (Apumzike kwa Amani)
 
Chadema wamemuua mwenzao baada ya kupigia akagawe kadi alikuwa tishio kwa viongozi mbalimbali ndani ya chama hicho ni kama vile chacha wangwe
 
mi siipendi kabisa chadema..kwann viongozi we2 na wanachama wanauawa na kushambuliwa kila mara halaf hawatangaz amri ya kuwashambulia hawa wa ccm..walianza igunga,mwanza na sasa arumeru..2anzishe vita na chama cha mashoga(ccm)
 
Back
Top Bottom