Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Uchungu huo mnaupata leo?
kwani mara ya kwanza watu kuuwawa na polisi hapa bongo?
Mkapa hakuua wapemba january 21
nilisha kwambia tunapokuwa tunajadili mambo yetu ya tanganyika kaa kimya..
Uchungu huo mnaupata leo?
kwani mara ya kwanza watu kuuwawa na polisi hapa bongo?
Mkapa hakuua wapemba january 21
kwenye mazishi ya mkiti wa ccm huko meru leo Andengenye ameahidi mil 10 atakae saidia kukamatwa kwa muaji lakini lema alimpinga hapo hapo na kumwambia wauji walimpigia simu marehemu kwanini wasifanye uchunguzi kwenye mitandano ya simu
Peleka magamba mahakamani japo mazingira ya mahakama si rafiki sana.
Huyu kamanda amekwisha zikwa? Mbona hakuna chombo cha habari kilichoripoti?
Na sisi tuanze kuyaua magamba kimya kimya.
'Sipo tayari kuingia ikulu huku damu ya watanzania ikimwagika.............. Kama ni hivyo ni bora msinipigie kura zenu kabisa'. Dr. W. P. Slaa akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mkuu October 30 2010 mkoani Mbeya
Uchungu huo mnaupata leo?
kwani mara ya kwanza watu kuuwawa na polisi hapa bongo?
Mkapa hakuua wapemba january 21
Uchungu huo mnaupata leo?
kwani mara ya kwanza watu kuuwawa na polisi hapa bongo?
Mkapa hakuua wapemba january 21
Hii inaonesha uimara wa chama. Pelekeni magamba mahakamani pia haikawii kusikia polisi kutishia kuwakamata viongozi wa cdm kama ilivyokuwa Mwanza.
Losambo, nashindwa kuelewa inakuwaje serikali kupitia Jeshi la Polisi wameshindwa hata kumkamata mtu mmoja kutokana na haya matukio ya kutisha? Kama wameshindwa tafsiri yake ni kwamba Tanzania sio salama tena kwa sababu jeshi la polisi halina uwezo wa kupambana na mauwaji! Je, ni kweli polisi hawana uwezo huo? Uvamivi mpaka kwa wabunge?
Akisoma maadhimio kumi na sita mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika amesema chama chake kipo njiani kuishitaki serikali kutokana na makada wake kumi na tano kuuawa na serikali kukaa kimya.
Mnyika aliweka wazi toka chaguzi mbali mbali ndogo zianze chama chake kimekuwa kikipoteza makada wake katika mazingira ya kutatanisha na serikali kukaa kimya kama hanma kitu kilichotokea.
Source ITV.