(Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao. Rum 12:15)
Yaani wasabato ni kama wanashangilia msibani, wameshindwa kabisa kulia na wanaolia!
Mkuu masopakyindi, Saba Sita yuko sahihi haswaaa!
Sema tulio wengi tunapenda kujidanganya kwamba duniani tupotupo sana!
Ndiyo maana baadhi yetu wakipata nafasi wanapora mali za uma.
Na kujilimbikizia mapesa mengi utadhani wana miaka 5000 hapa duniani. Huku wakiwaacha wenzao hohe hahe mzumgu...
Kwanza, niishukuru serikali ya mama Samia kwa kufanikisha mradi wa DMDP awamu pili ili kuboresha miundombinu ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Ambapo kutokana na ubovu wake imegharimu mali na maisha ya watu.
Kimsingi mimi ni mkazi anayehudumiwa zaidi na barabara ya Nyerere.
Ambapo barabara hii...
Sisi wananchi tu tunawashangaa Tazara,
vipi wageni wanajisikiaje?
Treni ilikuwa iondoke saa saba ila mpaka saa hizi wanatutangazia mpaka saa 12,
na hapo ni danadana tu zinaendelea.
Nimeambiwa ilifika jana kwa nini hayo matengenezo hayakufanyika hiyo jana? Au kuna hujuma?
Hapa wamejazana...
Mtake msitake, binadamu ni tofauti na mnyama, ambaye hutamkandamiza akubali siku zote.
Tulichokikataa kwa wazungu wachache wa Afrika ya kusini zamani;
hatutakifanya leo kikubalike popote!
Ubabe, maguvu siyo suruhu katika ulimwengu uliostaarabika!
Si-mnaona mataifa yenye nguvu yanavyoaibika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.