Mwanakijiji,
Kaka, hapa umechemka. Hujasoma alama za nyakati.
Waziri Sofia Simba ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya RAIS, Utawala Bora! Upo hapo?
Taasisi zote za Utawala Bora (Good Governance), ziko chini yake. Ina maana, hata ripoti za TAKUKURU hazimfikii RAIS bila kupitia kwake, achambue nini RAIS...