Recent content by mchlmmnl2

  1. mchlmmnl2

    Serikali ya Tanzania yathibitisha kutokuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini

    Serikari imekanusha habari za upotoshaji juu ya kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola Tanzania baada ya waliohofiwa kuwa na ugonjwa huo kufanyiwa uchunguzi na kugundulika hawana ugonjwa huo https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=177726&d=1408094176 Awali BBC ilitangaza kuwepo na hofu ya...
  2. mchlmmnl2

    Ajali Mkoani Shinyanga

    Gari la Cocacola latumbukia mtaroni usiku wa kuamkia leo maeneo ya barabara ya Shinyanga karibu na ofisi za Manispaa ya Shinyanga hakuna taarifa za majeruhi wala kifo katika ajali hiyo.
  3. mchlmmnl2

    The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

    Homa ya ugonjwa wa Dengue unahofiwa kuleta madhara katika michuano ya kombe la dunia nnchini Brazil huku nchi hiyo miaka michache nyuma iliripotiwa kuwa na kesi nyingi za ugonjwa huo kuliko nchi yoyote ile dunian. Source: BBC News - Brazil 2014: World Cup dengue fever risk predicted
  4. mchlmmnl2

    Inauzwa Samsung galaxy s3 mini

    ...............
  5. mchlmmnl2

    Inauzwa Samsung galaxy s3 mini

    ..............
  6. mchlmmnl2

    Ujenzi wa Terminal III ya J.K Nyerere International Airport waanza

    Kipindi hii post inaingia watu walizingua saiv ujenzi Kikwete kauzindua juzi watu wabishi kweli
  7. mchlmmnl2

    Inauzwa huawei Ascend Y 300

    Nipo Dar bei yake ni 160000 inatumia line zote imetumika wiki mbili tu... kama unaihitaji ni PM
  8. mchlmmnl2

    Kuaunlock simu za huawei

    Sh 170000 mpya kabisa na kuunlock sh 5000
  9. mchlmmnl2

    Kuaunlock simu za huawei

    Yap zipo pia ukihitaj@MR. DRY
  10. mchlmmnl2

    Mwalimu wa Uchumi na History Advence

    Anaehitaji mwalimu wa part time uchumi Micro economics and Macro economics pia advance History anaweza kuni email:mchlmmnl2@gmail.com
  11. mchlmmnl2

    Kuaunlock simu za huawei

    Nina unlock simu aina ya huawei ambazo zinatumia line moja tu. Kama unasimu hiyo nichek kwa kuni PM
  12. mchlmmnl2

    Mashabiki wa Chelsea-the blues

    Tupieni no zenu hapa tuanzishe group letu la whatsup
  13. mchlmmnl2

    Kipigo cha timu ya taifa 3 bila wamemaanisha wanataka serikali 3?

    Hujui matokeo ww tatu bila ulizifunga wewe?
Back
Top Bottom