Kipigo cha timu ya taifa 3 bila wamemaanisha wanataka serikali 3?

Kipigo cha timu ya taifa 3 bila wamemaanisha wanataka serikali 3?

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Wana jamvi juzi siku ya sherehe za muungano timu ya taifa imefungwa 3 bila na burundi,kimantiki ina tafsiri kuwa mfumo wa serikali 3 hata wana soka wameukubali,je wanao taka serikali 2 wanapata wapi uhalali?
 
Hiyo ni salamu toka kwa majirani zetu kuwa muundo wa serikali tatu tulioupendekeza sisi wanauafiki ili utoe mwanya na wao kujiunga pia. Muundo huu wa serikali mbili ni 'sealed' kwa nchi mbili tu hivo kuua dhana ya Afrika kuwa moja, muundo huu ni sawa na TEMBO kuungana na SISIMIZI.
 
Back
Top Bottom