Recent content by Mchembe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili nisifike kileleni haraka wakati wa kufanya mapenzi?

    No English dictionary has been able to explain the difference between the two words "COMPLETE and FINISHED". Some people say there's no difference between COMPLETE and FINISHED, but there is: When you marry the right woman, you are COMPLETE! When you marry the wrong woman you are FINISHED...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huwa naenjoy kusoma yaliyo andikwa nyuma ya daladala........

    Utakula ulikopeleka Mboga
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uvamizi Clouds: Mkuu wa Mkoa, Nape, Clouds Media na kamati ya Nape wana makosa

    Kwa hivyo wewe ulitaka Nape ampongeze kwanza RC ndio aunde tume ya kuchunguza? Hovyo kabisaaa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Nimemsikia akisema hakuna mtu aliyepigwa, sielewi amejuaje wakati hakufika hata kwenye tukio lenyewe. Mi nadhani kuna kitu kinafichwa hapo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Secretary anahitajika haraka

    Mshahara kiasi gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhakiki tena upya watumishi kwa mfumo wa kielektroniki

    Hakuna kitu kama hicho coz karatasi za kupigia kura huteketezwa baada ya miezi 6 toka tarehe ya kutangazwa mshindi na huku kwetu tulishachoma so tujiandae tu kuhakikiwa pamoja na kupatiwa vitambulisho vya utaifa vyenye saini zetu nje.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Amini nawe utaokoka ndugu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Zaburi 53:1
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na ajira ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO

    Ndugu, Eng Mramba ni mtendaji mzuri sana na ana uadirifu wa juu sana unaotokana na ucha Mungu wake. So labda kama kutakuwa na chuki binafsi tu dhidi yake ila ukweli amefanikiwa kulituliza shirika pamoja na kuleta good image kwa wateja wake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuvunjwa kwa Bunge Tarehe 20 August 2015

    Mmmmmh! Kuna nini tena mpaka wanaamua kulivunja Bunge letu lililojengwa kwa gharama kubwa hivyo, au wamegundua nalo liko barabarani tena?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Polepole leo umepita kushoto kabisaa mdogo wangu. Ngoja tukukumbushe mwaka 2005 tuliambiwa na Ccm wenyewe kuwa Dk. Salmin kuwa alihusika na mauaji ya Karume hivyo hizo zikawa ni tuhuma tosha kwa kiongozi. Swali langu mbona alipoteuliwa kuwa mjumbe wa tume ya mabadiriko ya katiba hukupinga na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    don-oba Daaaah! Mkuu, ukweli umejitahidi sana kujenga hoja ila najua utapata misukosuko sana kwanzia humu janvini na hata nje (usalama wako), nakutia moyo usihofu ni heri kufa kwa kusema ukweli kuliko kuishi kwa unafiki. Tafadhari naomba hata mie uni-PM kama inawezekana nitashukuru.
  13. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Mmmmmmmh!!!!! Umenichekesha sana aisee. Lakini ni vyema kutoa pole kwa ndugu, jamaa, chama na zaidi wananchi wa jimbo lake.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitine: Kuna waziri ameiba fedha za nchi huko nje ametia mfukoni mwake kutafutia urais

    Yes, umejenga hoja na kwa namna fulani naamini uko sahihi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Anatouglo Ilala: Uapishaji Wenyeviti wa Mitaa Mkurugenzi na Meya Wakumbana na Nguvu ya Umma

    Duuuuuh!!! Mkuu umenivunja mbavu aisee.
Back
Top Bottom