Chama changu kimeharibu kabisa furaha ya karibu kila mmoja, Wengine tulikosa
la kusema tukaamua kunyamaa, lakini leo hata hiki kidogo cha kuangalia ITV, CLOUDS,
CHANEL 10 nacho mmetuchukulia EH! Chama changu kimezidi sasa, Wale wanaorudi
kutoka Upinzani mnasema mnatumia Busara kuwapa tena...