Wanaume wa Dar es salaam

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,696
Sijajua hasa kwanini kumekuwa na kejeli zinaendelea kuhusu wanume wa Dar
wana nini hasa mpaka wamekuwa wa kutolewa mfano "Wanaume wa Dar"
Ninavyofahamu Dar kuna wnume wa shoka kwelikweli, hata hizo harakati
za kisiasa ambazo mikoani tunajiona tuko juu kwa kumbukumbu yangu zimeanzia
Dar, sema tu hawa watu wa Dar kwa sasa wamechoshwa na siasa wako 'Bize'
kupambana na ukali wa maisha.
misuli.jpg

Acheni dharau, tena wengi wenu munapiga kelele bila kujua ukweli hasa
kuhusu wanaume wa Dar
 

Attachments

  • wanaume wa Dar.jpg
    wanaume wa Dar.jpg
    33.3 KB · Views: 41
Waambie hao, wanakuja kujifunza ujanja huku wakirudi wanaanza kututusi, bora wewe umejitambua Dar ndio kila kitu bana hao wa mikoani ni wavulana tu.
 
vijana wa dar kwa mikwara nimeangalia hizo picha nikamkumbuka kijana mmoja wa dar alikuwa anajiita ARAFAT NGUMI JIWE,hivi alipotelea wapi?
 
Back
Top Bottom