Upasuaji wa kuongeza maumbile (Penis enlargement surgery)

Mcharuko

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
209
172
Wakuu hili jambo limenishtua kidogo maana rafiki yangu kamsafirisha mumewe kwenda nje ya nchi kufanya huo upasuaji. Sitaki kuzungumzia kilichopelekea kuchukua uamuzi huo, hofu yangu ambayo nataka nifahamu kutoka kwenu wadau ni

1. Je Operesheni hii haiwezi kusababisha kuua kabisa mashine yenyewe?

2.Haiwezi kupunguza ufanisi wa Mashine?

3.Wapo waliowahi kufanyiwa na wakafanikiwa?

4. Huku kutaka maumbile makubwa kumeibuka miaka ya hivi karibuni hivi hii
haitokani na dawa za uzazi wa mpango ambazo tunatumia wanawake kweli kuwa
zinatuharibu mpaka tunaona tatizo lipo kwa wanaume kumbe ni tatizo letu?
 
Mmh. Mi sionagi sababu ya watu kuukosoa uumbaji wa muumba.

Na hizo surgery huenda zikawa zinatibu tatizo ila ikawa kwa muda tu baada ya hapo hali inaweza kurudi kama zamani au kuwa mbaya zaidi ya mwanzo.

Pia niseme huyo mwanaume hajitambui sababu mwisho wa siku jogoo asipowika huyo huyo mwanamke aliyekuwa mstari wa mbele kumpeleka huko ndio atakuwa wa kwanza kumkimbia na kutafuta mwenye jogoo anayewika.
 
Tatizo hizi picha za ngono zimewaharibu sana vijana.
Haya mambo hayakuwepo zamani yamekuja siku hizi,mtu anaangalia picha za ngono,watu mle wanatumia madawa,wana mitalimbo ya ajabu,ukijiangalia unakuta huwafikii hata robo,psychologically unajikuta unataka kutumia dawa pia ukuze mtalimbo.

Halafu wanawake hata hawana shida na size ya mashine ni ujanja wako tu umridhishe.
 
Huku kutaka maumbile makubwa kumeibuka miaka ya hivi karibuni hivi hii
haitokani na dawa za uzazi wa mpango ambazo tunatumia wanawake kweli kuwa
zinatuharibu mpaka tunaona tatizo lipo kwa wanaume kumbe ni tatizo letu?
Hiki ndicho ninachokiona my dear...

Huko nyuma sikuwahi kusikia japo sijazaliwa zamani sana. Hii shida imewaondolea hata baadhi ya wanaume kukosa ujasiri wa kuoa au kuingia kwenye mahusiano.
 
Mmh. Mi sionagi sababu ya watu kuukosoa uumbaji wa muumba.

Na hizo surgery huenda zikawa zinatibu tatizo ila ikawa kwa muda tu baada ya hapo hali inaweza kurudi kama zamani au kuwa mbaya zaidi ya mwanzo.

Pia niseme huyo mwanaume hajitambui sababu mwisho wa siku jogoo asipowika huyo huyo mwanamke aliyekuwa mstari wa mbele kumpeleka huko ndio atakuwa wa kwanza kumkimbia na kutafuta mwenye jogoo anayewika.
Ifike mahali wanaume wajiamini kuwa vyovyote walivyoumbwa wako perfect.

Wengine wanakazana na ku massage kwa mitishamba kwa sababu kuna kiumbe kamwambia yeye ni kibamia. Akipata madhara huyo mwanamke atakuwa wa kwanza kumcheka.

Nimeipenda point yako kuwa hakuna sababu ya kukosoa uumbaji wa Mungu. Kila mmoja alivyoumbwa ndivyo ilimpasa awe hivyo. Turidhike.
 
Back
Top Bottom