Nusu fainali ya shindano la Cyber Champion 2023/24 itafanyika Jumamosi, Januari 20, 2024 kupitia mtandao kwa wanafunzi wote waliojisajili. BADO SIKU 3 TUU!
Usajili bado unaendelea; tembelea https://cyberchampions.tcra.go.tz
.
.
#cybersecurity #cyberchampions #informationsecurity #tzcert #tcratz
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, na Watanzania wote, kuadhimisha MIAKA...
Usikose kufuatilia kipindi mbashara kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii, kufahamu zaidi kuhusu Ufuatiliaji na Uhuishwaji wa leseni [emoji419]MBASHARA[emoji419]
LEO HII
[emoji413]: 05 JANUARI, 2024
[emoji937]: SAA 12 JIONI
[emoji342]: YouTube & Facebook (tcra_tanzania)
Nukuu ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Bakari, akizungumza katika Uzinduzi wa Kitabu cha Kuanzisha na Kuratibu Klabu za Kidijiti, katika ukumbi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Novemba 2, 2023. Bofya Digital Clubs kufuatilia tovuti ya...
Tembelea "Tanzanite Portal" kwenye ukurasa wa tovuti ya TCRA: www.tcra.go.tz ili kujisajili na kutuma maombi yako ya leseni ya mawasiliano.
#lesenikidijitali #hapohapoulipo #tcratz #tanzaniteportal #hudumazamawasiliano
Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena leo Novemba 1, 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo.
Muswada huu ni ndoto ya Serikali ya...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Bakari atawasilisha Taarifa ya Mwenendo wa Sekta ya Mawasiliano kuanzia Mwezi Julai hadi Septemba, 2023.
Taarifa hiyo itarushwa mbashara leo Jumatano, Tarehe 25 Oktoba, 2023 kuanzia saa Tisa Alasiri, kupitia chaneli ya...
Wataalamu wa Usalama Mtandao wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Innocent Mungy walipokuwa kwenye mahojiano maalum ya kipindi cha Redio ya BAHARI FM kwa ajili ya kuelimisha umma juu ya matumizi salama ya mtandao...
Tukiwa katika Mwezi wa Usalama Mtandaoni, TCRA kupitia, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umaa Bw. Rolf Kibaja imetoa maelezo kwamba Taarifa kwa Umaa iliyotolewa haijakataza matumizi ya VPN kama baadhi ya watu wanayopotosha kupitia mitandao ya kijamii. Bw. Kibaja amesema "TCRA...
Tuache NHIF wafanye kazi yao, Tupunguze Porojo huku mitandaoni bila kuwa na Data sahihi, Huu mfuko ni msaada mkubwa sana kwa jamii twende mbele turudi Nyuma wanaouguza nadhani wanafahamu hili vizuri.
Bungeni - Dodoma
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa(Mb) amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na ameahidi kudhibiti na kupambana na Rushwa katika mikataba, manunuzi na usimamizi wa miradi.
Amesema hayo leo tarehe 06 Septemba 2023 Bugeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.